madereva

  1. K

    Hofu yaongezeka kwa madereva wanaosafirisha Sulphur. Usalama wao na Afya zao ziko hatarini

    Usafirishaji wa sulphur kwenda Zambia na DRC umeongeza shughuli za kiuchumi nchini, lakini baadhi ya madereva wanaeleza hofu kuhusu usalama wao. Dar es Salaam. Kwa nje, huonekana kama safari nyingine ya kawaida ya kusafirisha sulphur kutoka Bandari ya Dar es Salaam kuelekea Zambia na Jamhuri ya...
  2. Madereva 165 wa Malori walalamikia kushindwa kufanya mtihani wa mwisho VETA - MPANDA

    Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
  3. A

    KERO Dar: Daladala za Mjini - Temeke zina tabia ya kupakia na kushusha abiria nje ya vituo na kuleta msongamano

    Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala zinazotoka mjini kuelekea Temeke kupitia njia ya Chang'ombe. ‎ Kero hii imekuwa ikisababisha foleni na...
  4. K

    KERO Madereva wa mwendokasi terminal ya Kivukoni wanachelewa kuondoka bila sababu za msingi

    Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
  5. Arusha: Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026 Jijini humo. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Mkude amesema Viongozi hao walikamatwa ili watoe msaada kwanini wamefikia hatua ya kuwaambia wenzao...
  6. A

    KERO Baadhi ya madereva wa Bolt wanatoza bei zaidi ya ile inayoonekana kwenye mfumo

    Madereva wa Bolt wanakera sana. Unakuta kwenye app imeonyesha nalipa shilingi 3,000, lakini dereva anasisitiza nimlipe 4,000 akidai mara nyingine app ya Bolt huwa inasumbua. Nilimwambia aendelee kumaliza safari (end ride) kwanza, lakini akadai mtandao unasumbua. Nilipomwambia nitampa hiyo hela...
  7. A

    KERO Madereva wenye dharau barabara ya Mbeya - Tunduma

    Kumekuwa na dharau nyingi zinazofanywa na madereva wanaotumia barabara ya kutoka Mbalizi kuelekea Tunduma. Madereva hao wamekuwa waki-overtake bila kuchukua tahadhari, na mara nyingi wanafanya hivi kama chombo cha moto kinachokuja mbele yao ni pikipiki. Unakuta dereva anataka ku-overtake na...
  8. A

    KERO Kituo cha SGR – Dar kitengewe sehemu ya madereva kuchukua abiria wao, kulipia buku hata kama unapita tu si sawa

    Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu. Namaanisha...
  9. Wakati Madereva Watanzania wanateseka Kongo, Samia anacheka na Museven

    Hii Nchi hakuna kiongozi anayejali Watanzania bali wanajali pochi zao. Madereva wanateswa, wananyanyaswa, na kubaguliwa huko Kongo, lakini Serikali ipo kimya. Mabolozi wana kazi gani? Huo Uchumi utakuaje kama Magari ya Tanzania yamawekwa foleni 24/7? Hayo mapato ya bandari mtapataje? One stop...
  10. A

    KERO 25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza

    25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari jambo inaumiza sana na ukizingatia kutokana na uhaba wa ajira vijana wengi tumeamua kujiajiri lakini...
  11. A

    KERO Responded Madereva tuliosoma Chuo cha VETA Chang'ombe, tuna changamoto ya kucheleweshewa vyeti hali inayosababisha kushindwa kuhuisha leseni zetu

    Mpaka sasa tuna zaidi ya mwezi tangu tumalize kufanya mitihani, leseni zetu zimeisha, hali inayosababisha madereva wengine kupoteza ajira zao. Mpaka sasa hatujui ni lini tutapata vyeti ama waangalie namna tutakayoweza kuhuisha leseni zetu, wakati tunasubiri kupata vyeti. Kifupi ni kwamba...
  12. A

    KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  13. Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia

    Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia SOMA HAPA. Sasa kila Dereva anayekamatwa analialia kusamehewa eti hakuwa na taarifa.. Hadi wengine wanajifanya kutoa Rushwa. Nani alimwambia LATRA wanapokea Rushwa? Nawaonya tena, wale Madereva wanajifanya kutoa chai pale...
  14. M

    Madereva wa serikali naombeni ushauri hapa.

    Mwenzenu Mimi ndo natarajia kuanza veta lengo likiwa kupata cheti Cha mafunzo ya udereva hatimae nikamalizie na NIT.Lengo ni kuingia serikalini kupitia driving kwahivyo wale madereva wazoefu mlioko huko,wale mnaohusika na kada ya usafirishaji serikalini naombeni ushauri katika Hilo aidha...
  15. F

    Congo ni hatari wanaua madereva

    Huyu dereva kashaoza
  16. Madereva na maKondakta walalamika shilingi 100 kuadimika. Tunaomba tuletewe

    Kondakta wa usafiri wa daladala wametoa malalamiko yao kutokana na kuadimika kwa sarafu ya shilingi 100 na 200 hali inayowapa ugumu kurudisha chenchi kwa abiria, wakilazimika kurudisha 500 badala ya 600. Gasper Massawe, kondakta wa daladala za Makumbusho amesema kutokana na kuadimika kwa sarafu...
  17. O

    NTSA Yaleta Digital Fines Mpya… Lakini Court Yasimamisha Mpango! Madereva Wabaki Wakishangaa

    Madereva nchini Kenya wamekumbana na mpango mpya wa NTSA wa digital fines unaotoza faini instant kupitia mfumo wa Traffic Management Solution (TMS). Mfumo huu ulilenga kupunguza face-to-face interaction na polisi barabarani ili kupambana na corruption. Kwa sheria hizi mpya, makosa madogo kama...
  18. Wanajihadi wa Jama'at Nusrat al-Islam wa al-Muslimeen waua madereva kwa kukata koo zao

    Shirikisho la Kimataifa la Wafanyakazi wa Uchukuzi (ITF) limeitaka serikali ya Mali kuchukua hatua baada ya wimbi la mashambulizi mabaya ya msafara kuwalenga madereva wa malori ya usafirishaji mafuta. 'Wafanyikazi wa usafiri ni muhimu ili jamii zihudumiwe - haistahili waachwe bila ulinzi', ITF...
  19. Konda na madereva wa tz bhana

    Wanasubiri abiria wawili washuke wanapakize mmoja wanaondoka?? Baada ya kukaa muda mrefu bila kuondoka kituoni ?? Elimu au nin?
  20. Madereva wa Tanzania to Zambia, Watakiwa kubeba Cash kwacha 2,500 ya Toll ya barabara ya Sakania to Ndola

    Kituo kipya cha tozo (Toll Plaza) cha Tom Mtine kwenye barabara ya Ndola–Sakania huko Ndola, Zambia kimefunguliwa rasmi leo Jumamosi (22 Februari 2026). GHARAMA ZA TOZO K0.00 – Magari madogo, daladala/mini basi, na magari mepesi (yamesamehewa kwa muda) K100 – Mabasi yenye zaidi ya viti 30 K850...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…