madereva

  1. figganigga

    Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Kama ilivyo tangazwa hapo awali, Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania. Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi. Asante. Kuna watu wanahoji kwanini wanagoma? Wanagoma kutoka na Utawala Mbovu usiotenda haki wa CCM na...
  2. Funny boe

    Mgomo wa madereva leo tarehe 29/09/2026.

    Mbona kama hii issue ipo serious sana aise. Nipo stand ya nyegezi mwanza Hakuna dereva aliyetoa gari hadi muda huu. Sometimes inabidi tu tajiri mwenyewe mwenye gari aje ashike usukani aendeshe mwenyewe. Vipi kwenu huko?
  3. Hismastersvoice

    Serikali kujivunia madereva 500+ wanaotumikishwa uarabuni ni mapungufu ya viongozi wa CCM.

    Wakati wenzetu wanapeleka wananchi kwenda nje kufanya kazi ambazo nchi itafaidika watakaporudi sisi tunapeleka madereva kazi ambazo zimesuswa. Tumepeleka mayaya na waosha sahani lakini wakirudi hatufaidiki kiuchumi! Wenzetu wamepeleka vijana Israeli ambako wanajifunza kilimo chenye tija kupitia...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Mgomo hatusitishi… tutalisha ugali familia? Watoa huduma za daladala mnadani Dodoma

    Watoa huduma za usafiri wa daladala katika eneo la Mnadani jijini Dodoma leo Septemba 16, 2026, wamegoma kutoa huduma, wakilalamikia umbali wa stendi iliyotengwa kwa ajili yao kutoka barabarani. Watoa huduma hao wamesema umbali huo unawalazimu abiria kutembea hadi stendi, huku wao wakiwa stendi...
  5. Nyendo

    Ukungu wawa tishio Njombe, TMA wawaonya madereva

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele. Akizungumza na Mwananchi Digital...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwa mujibu wa Kusaga TV: Arusha kila siku wanauwawa madereva bodaboda

    Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi, juzi tu Kusaga TV iliripoti tukio la dereva bodaboda kuuwawa na kutolewa macho huko Olasiti...
  7. Jaji Mfawidhi

    Madereva Dar kufungiwa Leseni!

    Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati. 1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote. 2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
  8. Zack Abdul

    Utalii wa Mikutano Arusha: Madereva wa taksi wafunguka wanavyonufaika kiuchumi

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
  9. A

    KERO Wanausalama wa Barabarani Dar waache kutengeneza mazingira magumu kwa madereva Bajaj

    Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano. Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
  10. D

    Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Ndugu zangu; Kila mtu anafahamu wazi, Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police! Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani! Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
  11. Burn the bridge _Tz

    Udereva ndio fani inayoongoza kwa ajira, ajira portal vijana tupambane tuwe madereva.

    Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
  12. figganigga

    Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

    Dereva akimchana live Chalamila MY TAKE Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe. Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking. Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea. Mfano MOFAT saaa hivi...
  13. FRJ255

    Kampuni kutotoa nafasi za Madereva wapya wa malori kuchangamana na wazoefu, watatoa wapi uzoefu?

    Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5. Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
  14. Sajo

    Je, kwa nini madereva wengi huingiwa na hofu wanapoona askari wa usalama barabarani?

    Jibu ambalo utalisikia mara nyingi si kwamba wanachukia sheria, bali wanahisi wanaweza kubambikiwa makosa au kutozwa faini hata pale wanapoamini hawajakosea. Badala ya askari kuonekana kama walinzi wa usalama, kwa baadhi ya madereva wamekuwa ishara ya usumbufu na hofu kila wanapoanza safari...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Madereva Masafa Marefu Walalamikia Kurudia Mafunzo Kila Kuongeza Leseni

    Madereva wa magari ya masafa marefu wameeleza kutoridhishwa na utaratibu unaowalazimu kurejea darasani kila wanapohitaji kuhuisha leseni zao za udereva, wakidai kuwa mafunzo hayo yanajirudia na yanapoteza muda ambao ungeweza kutumika katika shughuli zao za usafirishaji. Soma pia > VETA...
  16. A

    HOJA Wanausalama wa Barabarani Mkata hizi tuhuma za rushwa mnazisawazishaje? Mnaonea sana madereva wa Lori

    Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari. Katika hicho kituo...
  17. Mstahiki Mea

    HOJA Bolt fundisheni madereva kufata ramani kuepusha usumbufu

    Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina . Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na...
  18. K

    Hofu yaongezeka kwa madereva wanaosafirisha Sulphur. Usalama wao na Afya zao ziko hatarini

    Usafirishaji wa sulphur kwenda Zambia na DRC umeongeza shughuli za kiuchumi nchini, lakini baadhi ya madereva wanaeleza hofu kuhusu usalama wao. Dar es Salaam. Kwa nje, huonekana kama safari nyingine ya kawaida ya kusafirisha sulphur kutoka Bandari ya Dar es Salaam kuelekea Zambia na Jamhuri ya...
  19. Roving Journalist

    Madereva 165 wa Malori walalamikia kushindwa kufanya mtihani wa mwisho VETA - MPANDA

    Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo kuisha zaidi ya mwezi mmoja sasa.
  20. A

    KERO Dar: Daladala za Mjini - Temeke zina tabia ya kupakia na kushusha abiria nje ya vituo na kuleta msongamano

    Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala zinazotoka mjini kuelekea Temeke kupitia njia ya Chang'ombe. ‎ Kero hii imekuwa ikisababisha foleni na...
Back
Top Bottom