Sekeseke limewakumba madereva wanaopaki malori eneo la Kurasini baada ya kutakiwa kuondoa magari yao maeneo ya maegesho baada ya kuchukuliwa na mwekezaji.
Madereva hao wameambiwa na mtumishi wa Bandari kua “toeni magari yenu ama tuwapasue vichwa”.
Bado mpaka sasa madereva hao hawajajua...
Huwa ni ajabu sana kumaliza wiki hujasikia ajali Tanzania. Tofauti na chi nyingine ambazo vifo vya ajali ni vichache sana Madereva wa Tanzania mna matatizo gani ? Unakuta dereva anaendesha huku anaongea na Simu, au amelewa au ana ovoer take sehemu isiyo sahihi au hafuati sheria za barabarani Je...
Madereva waligoma wakidai baadhi ya haki ikiwemo zuio la jaribio la ukataji wa pointi kwenye leseni, mgomo huo ulidumu kwa siku 2 na ya 3 mabasi yalianza kurejea taratibu.
Baada ya mgomo huo, siku kadhaa kupita baadhi ya viongozi wa madereva walifanya mkutano na waandiahi wa habari wakidai...
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – DEREVA MWENYE UJUZI WA UFUNDI WA MAGARI
Tunatafuta dereva mwenye uzoefu wa udereva na uelewa wa ufundi wa magari, atakayekuwa na jukumu la kuendesha magari, kufanya ukaguzi na matengenezo ya kawaida, pamoja na kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu matengenezo na...
Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge.
Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
Anonymous
Thread
bunge
dhuluma
huwa
kipindi
maana
madereva
pesa
posho
shughuli
vitabu
wabunge
wapi
zao
Madereva wa malori ya masafa marefu wamesitisha usafirishaji wa mizigo kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kufuatia taarifa za kuuawa kwa madereva 12, akiwemo Mkenya Mohamed Tahlil, kutokana na kuongezeka kwa ukosefu wa usalama nchini humo.
Chama cha Madereva na Makondakta wa...
Afisa Mnadhimi wa kikosi cha Polisi, Trafiki Makao Makuu ACP Desdery Rugimbana, alisimamia zoezi la utoaji wa elimu ya usalama barabarani kwa watumiaji wote wa barabara wakiwemo madaereva na abiria.
Elimu hii ilitolewa oktoba Oktoba 18, 2026 eneo la Kipalala Morning Tabora. ACP Rugimbana...
Madereva wa Bajaji (bolt) stories zenu zinafikirisha sana, sasa sijui zinakuwa za ukweli asilimia ngapi??
Huu ni mtiriri wangu:
1. Aisee kuna demu mmoja wa kishua kanipenda sana, tunagonga humu humu kwenye Bajaj yangu.
2.Dada mmoja mteja wangu sana tu,tumezoeana!! Siku nimempeleka kwake mvua...
Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya
Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
Siku mbili zimekatika tangu nchi itikisike kwa sababu ya mgomo wa madereva wa mabasi katika mikoa mbalimbali nchini wakipinga kukatwa alama kwenye leseni zao wanapofanya makosa ya barabarani, sasa siri ya uwepo wa mgomo huo imebainika.
Kwa mujibu wa dereva mmoja wa kampuni moja ya mabasi...
Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole zenye wakazi zaidi ya 410,400
Mitambo hiyo yenye thamani ya Sh2.3 bilioni imejengwa kwa ajili ya...
Mmoja anakwenda pale kukagua shughuli za usafirishaji wa abiria na mwingine anakwenda kufuatilia mgomo wa madereva. Je, wananchi na wafanyabiashara washike lipi?
Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado.
Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini.
Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
Madereva si wachache nchi nzima.
Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo.
Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja.
Hilo ni somo kwa serikali na vyombo vyake.
Tunasikia kila siku kuna intellijensia, sasa hivi wamevuliwa msuli...
Licha ya Waziri wa Michezo (Bwana Paulo Makonda) na Waziri wa Mambo ya Ndani (Bwana Patrobas Katambi) kufanya kikaokazi na madereva wa mabasi yaendayo mikoani jana tarehe 29/09/2026, madereva hao wameshikilia msimamo wao wa kutoingia barabarani hadi warejeshewe pointi zao walizokatwa kihuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.