madereva

  1. Z

    Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi. Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva wengine wenye nia ya kufanya kazi. Hatuwezi kubabaishwa na wahuni wachache. Nyang'anya funguo kabidhi...
  2. Abdul Nondo

    Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anadanganya umma na madereva

    ANADANGANYA kusema kwamba tatizo ni Sheria ya Bunge ,kwamba yeye hawezi ifuta. Tatizo wala sio Sheria ya usalama Barabarani ,Sheria ipo wazi kabisa,Sheria ya usalama Barabarani (Road Traffic Act ) Sura No.168 toleo la 2023 kifungu cha 31(1) kinasema hivi , " For the purpose of ensuring...
  3. figganigga

    Madereva bora tufe tumesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti

    Mtanzania ni mpole, lakini akiamua jambo lake, utamuua tu. Jana nilikuwa naangalia vitisho vya Polisi nikabaki nacheka. Polisi wanahisi bado wanaheshimika kama zamani. Tangu waue 29.10.2025 heshima yao imeshuka. Wwanaonekakama kama wanyama mbwa mwitu.. Tunaishi nao kwa timing. Ama zetu ama...
  4. K

    Kwa hali ya nchi ilivyo sasa; madereva waliogoma wajiandae kisaikolojia

    Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote...
  5. K

    Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  6. B

    Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Dereva Kasuka Makulu: LATRA wanatuvuruga sana, na tunachokiomba sisi madereva swala letu la pointi lifutwe

    Mmoja wa madereva aliyejitambulisha Kasuka Makulu akiwasilisha malalamiko yake mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema: “Madereva tunanyanyasika, tumekuwa kama jalala, hatuthaminiwi ndani ya nchi. LATRA wanatuvuruga sana.” "Mheshimiwa waziri sisi madereva tumekuwa...
  8. kavulata

    Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

    Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu. Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu...
  9. figganigga

    Mgomo wa madereva Utaondoka na Vyeo vya watu

    Mgomo huu ndo kielelezo cha kwamba watendaji na Wateule wa Samia hawajalli Shida za Wananchi. Yaani wanafanya kazi kwa Vitisho na Ubabe mwingi sababu hawajateuliwa. Serikali inayowajibika kwa Wanancgi lazima ifanye mabadiliko. Watu wanakaa Ofisini muda mrefu na kufanya kazi kwa Mazoea...
  10. Zack Abdul

    Ajira 360 Mwendokasi: Madereva na Maafisa Abiria

    Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za...
  11. mirindimo

    Wamiliki wa mabasi park magari yenu kama mnawapenda madereva wenu

    Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
  12. Zack Abdul

    Madereva wajitafakari

    Ukitoa madai yao MADEREVA wamezingua wamechukua nauli za ABIRIA wakijua HAMNA SAFARI huu ni UTAPELI, huko njiani wanazuia hadi magari ya wagonjwa YASIPITE kwa kupack magari yao na kuweka magogo barabarani hii si SAWA hudai HAKI kwa kunyima HAKI wengine. POLISI WACHUKUE HATUA KALI
  13. Kamanda Asiyechoka

    Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

    Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua. Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
  14. C

    Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa. Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini hata mara tatu ya kosa la kuzidisha mwendo na kwa hiyo anaona alistahili kuipa mara moja hata kama...
  15. Design Your Idea

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi

    Kuna update yoyote kuhusu huu mgomo wa madereva maana abiria wajarudishiwa nauli zao na wamebakii kuchoma mahindi Karibuni
  16. figganigga

    Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori na Mabasi. Epuka usumbufu

    Mwanasheria na Wakili nguli Mheshimiwa Tundu Lissu aliwahikusema, siku madereva wakipaki magari yao yote watapati haki. Leo imetimia
  17. mirindimo

    VIONGOZI WA MADEREVA KUPEWA KESI YA UHAINI NA UGAIDI

    PoliCCM wanajiandaa kuwafungulia viongozi wa madereva kesi ya Uhujumu Uchumi au Ugaidi baada ya Madereva kugoma kuondoa mabasi.
  18. M

    Kwanini points wakatwe madereva pekee yao wakifanya makosa katika kazi yao?

    ●Vipi rais akifanya makosa? ●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao? ●nani anawakata points askari? maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila uoga wala aibu. Na wengine kwenye mengine.kwanini iwe madereva tu? Sheria zipo; Kama □kuonywa...
  19. Roving Journalist

    Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hali ya mgomo wa madereva na wafanyakazi wa mabasi imeendelea kushuhudiwa...
  20. Roving Journalist

    Mgomo wa Madereva na Wafanyakazi wa mabasi wafanya mgomo Morogoro na Dar

    Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma kuanza safari hii leo. Hapa ni stendi ya Nane Nane, Dodoma, hali ilivyo asubuhi ya leo baada ya mgomo...
Back
Top Bottom