Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa..
Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson
Tears as first Kyiv train arrives in freed...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera nyingi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia yake. Baba alipongezwa kwa kupata dume, dume...
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa...
Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake.
Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa...
Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo .
Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
Mshitakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake amejikuta akitokwa na machozi mahakamani wakati akitoa ushahidi wake kama sehemu ya utetezi wake.
"Niliweka uhai wangu rehani kwa kufanya kazi za serikali,mpaka nikatumiwa watu kuniua"...
Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok Madarakani.
Licha ya Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan kumrejesha Hamdok na...
Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost
Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo
Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro
2 berry - Na Wewe Tu
Mike tee - Sintobadilika
JI - Kidato Kimoja
MB Dogg - Natamani
Mr Paul -...
ninawazia sana wanangu wa kike.
Je niwalee kwa misingi ipi.
Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha?
Nitaweza? Nitawezaje?
Inamaana nikishindwa na wanangu wataomba pesa kwa wanaume kumi
Vipi hao kumi wote wakimwambia akafuate
Inamaana mwanangu ataliwa na wanaume kumi?
Nifanyaje?
Betty...
Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki.
Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
Jamaa yangu tupo naye kazini kitambo sana. Si haba vijicent vipo. Shida kubwa ya jamaa ni ubabe na unyanyasaji sababu ya vijicent.
Huwa namwambia asiwe na lugha za kibabe, dharau na unyanyasaji kwa watu wa kipato cha chini. Haelewi.
Anajenga nyumba. Ashafukuza sana mafundi bila kuwalipa na...
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC.
Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.