machozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

    Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana. Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa. Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa. Ukiangalia hii video unaweza toa machozi. Jamaa ana akili sana.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

    Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani? Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje? Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium)...
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

    Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

    Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa. Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao. ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 Video from WasafiTv
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

    Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge. Mechi...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Population Crisis: Kim akilia machozi kuwaomba Wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto ili kuongeza idadi ya watu

    Huyu jamaa na makombora yake sikujua naye anaweza kufikwa na huzuni mpaka abubujikwe machozi, akina mama pia nao wajiunga kwenye kulia machozi maana mkuu analia, hii ilikua baada ya kusoma taarifa jinsi uzao unapungua, mama hawazai tena kisa changamoto nyingi. ================== Rais wa Korea...
  8. Execute

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali iwafute machozi wananchi dhidi ya kadhia ya Tembo nchini

    Chama cha ACT Wazalendo hakiliridhishwi na kasi ya Serikali katika kushughulikia matukio ya tembo kuvamia makazi, kuharibu mali (mazao) na kutishia usalama wa wananchi nchini. Tangu mwaka 2021 vilio vya wananchi wanaoishi pembezoni au maeneo yanayozunguka hifadhi au mbuga za wanyama kama vile...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Machozi ya Waziri Byabato na idadi ya watu milioni 64 wanaoongezeka kila kukicha

    Nimeiona video ya Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato anaonekana akilia mbele ya hadhira ya mkutano mmoja kule Bukoba. Sauti yake pia inatembea katika mtandao wa WhatsApp akisikika kama analia wakati akidai anahujumiwa ili asiweze kutekeleza ahadi zake za 2020. Muda unaenda kasi na ahadi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kila nikimtazama 20 Percent natokwa na machozi

    Niseme tu wazi miongoni mwa wanamuziki wenye vipaji tofauti tofauti vya hali ya juu ila hawajielewi basi mmoja wapo ni huyu ndugu yetu Abasi Kinzasa (20 Percent). 20 Percent ni msanii wa hali ya juu mwenye uwezo wa hali ya juu wa kuandika na kuimba nyimbo zinazoteka hisia za watu kwa kiasi...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Machozi ya Mkizi

    1 Amani kwenu Nyote,Na Utukufu kwa Muumba Yeye Aloumba Vyote,Na Kuvipatia Unyumba Kwake Vyarudi Vyote,Hata visivyo unyumba Machozi ya Mkizi,Huoshwa na Bahari 2 Maisha Masikitiko,Mtiririko wa Matatizo Wakati mwingine Vituko,Utafikiri ni Maigizo Popote pale Uliko,Uitafutapo tuzo Machozi ya...
  15. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT kimekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji.

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  16. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mpina imenitoa machozi akichukua fomu kugombea uspika mwaka mmoja uliopita

    NIMESIKILIZA HII HOTUBA YA MBUNGE MPINA AKOSOA YALIYOFANYWA NA NDUGAI AKIWA SPIKA, WAKATI AKICHUKUA FOMU YA USPIKA NA KUTANGAZA KUREKEBISHA MAPUNGUFU MSIKILIZE NA WEWE UNAWEZA KUJIFUNZA VITU NA HALI ILIVYO SASA NA TULIA ANAVYOONGOZA BUNGE https://youtu.be/HdOl2bhdsWY
  18. Mi bishoo tu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee. wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi. Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa jina la muvi tukazitafute.
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuna Machozi ya Mamba kwenye kupambana na uharibifu wa Mazingira

    Mamba anajulikana kwa kuwa na machozi ya kinafiki sana, unaweza muona analia machozi yanatoka kumbe ana zuga. Sasa na sisi kwenye Kupambana na uharibifu wa Mazingira ni bora tukaacha unafiki kama wa Mamba. Mabadiliko ya Tabia nchi ni kweli yapo na yanaendelea kutuletea matatizo makunwa sana na...
Back
Top Bottom