ninawazia sana wanangu wa kike.
Je niwalee kwa misingi ipi.
Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha?
Nitaweza? Nitawezaje?
Inamaana nikishindwa na wanangu wataomba pesa kwa wanaume kumi
Vipi hao kumi wote wakimwambia akafuate
Inamaana mwanangu ataliwa na wanaume kumi?
Nifanyaje?
Betty...
Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki.
Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
Jamaa yangu tupo naye kazini kitambo sana. Si haba vijicent vipo. Shida kubwa ya jamaa ni ubabe na unyanyasaji sababu ya vijicent.
Huwa namwambia asiwe na lugha za kibabe, dharau na unyanyasaji kwa watu wa kipato cha chini. Haelewi.
Anajenga nyumba. Ashafukuza sana mafundi bila kuwalipa na...
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC.
Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
Kwanini ‘Jaji wa Kimkakati’ Elinaza Luvanda anasikiliza kesi ya Mbowe?
Hana hatia, huenda anatekeleza maagizo toka juu kama ilivyo kwa Msajili /Registrar Simba wa Mahakama kuu amewekwa Kisutu kwa mikakati maalum.
Juzi Jaji Elinaza Luvanda alitupilia mbali pingamizi la awali ambalo lilikuwa...
Kaka never won a liberators. - Ronaldo (R9) never won a Champions League.
Ibrahimovic never won a golden ball.
Cristiano Ronaldo and Messi have never won a World Cup. - Ronaldinho won it all. He’s up there with some of the best to ever do it.
Kwakweli Anko magu hakua perfect ila ni Rais ambaye watanzania wengi tulimpenda sana.
Alitufundisha uzalendo,kua proud na utanzania wetu hata kama sisi ni nchi maskini. Hakupenda watanzania waonekane wanyonge sehemu nyingine, aliipenda Africa yake, hakuwaona wazungu kama ndio kila kitu.
He was...
Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza Madawa ya kulevya , leo amehudhuria Kongamano muhimu la Katiba (Katiba day) ambapo wameonekana watu...
Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.
Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa...
Ule mtambo wa mabao toka Burundi uliowapagawisha wana yanga ulipowasili nchini na kupokewa na rundo la mashabiki umeaga rasmi na kuacha majonzi makubwa kwa mashabiki wa team hiyo inayokamata nafasi ya 74 kwa ubora barani afrika ikiwa nyuma kidogo ya namungo ambayo inakamata nafasi ya 60.
Hizi...
Ukitumia jicho la tatu kwenye machozi mazito aliyotoa aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya kwenye msiba wa kitaifa wa JPM utaelewa yule bwana pale dhamiri yake ilikuwa inaongea waziwazi si msiba tu ulikuwa unamliza ila kuna msiba mkubwa zaidi ya huo haswa juu ya hatma ya maisha yake.
Mojawapo...
UTENDAJI KAZI: MAJALIWA KASSIM MAJALIWA
•Tarehe 10/4/2021 anafanya ziara kukagua ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere lililopo Rufiji na kuwaahidi Watanzania kuwa ujenzi utaendelea kama kawaida na kumalizika kwa muda uliopangwa.
•Tarehe 19/4/2021 anakwenda kuukagua mradi wa mabasi ya...
kuna watu nawashangaa sana wanafikiria kutengeneza matokeo yanayoteka mioyo ya watu huwa ni suala la kukurupuka tu ety na mm nataka nifuate ya kwangu haiwezekani
kuna watu waliletwa Duniani kutengeneza njia ili wengine wazifuate
ukijifanya na wewe utengeneze za kwako huku ukiwa hauna uwezo...
Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
Habari Wanajanvi na Poleni na Msiba Mkubwa uliolikumba Taifa letu.
Tumekua tukiamini kila ukiona Mtu au Mnyama anatokwa na Machozi basi kaumizwa au ana huzuni.
Tunasahau sana kua kuna vitu viwili tu viwezavyo kumfanya Mtu au Mnyama Kutokwa na Machozi ama Kulia navyo ni Utamu au Uchungu...
Wananchi Wilaya ya Sengerema wamelalamikia idara ya wanyamapori kutokuwalipa kifuta machozi watu waliopoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya kuliwa na wanyama wakali tangu mwaka 2019 hadi mwaka 2020.
Mmoja wa waathiriwa hao, Sanda Deus anayeishi Kijiji cha Nyamasale kata ya Busisi...
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.