maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    WI-FI ya Airtel ni matatizo matupu. Ni wizi wa fedha za watu maana mtandao unapatikana kwa shida kubwa! Very very very slow!

    Hiyo ndiyo hali halisi. Tafadhali rekebisha kasoro hiyo! i very recent tatizo hilo limeanza. Ni mtandao gani mtu anaweza kuhamia?
  2. Beira Boy

    Naomba kujua nini maana ya kuwa na “Kesi ya kujibu” katika sheria

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua ni nini maana ya kesi ya kujibu kama ilivyotokea leo kwa mghwai? LONDON BOY
  3. instinct desire

    Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  4. C-C Digital Pro

    Civilañ-Coin: Sitarajii kuoa mtoto wa Obama(USA) maana siwajui hawanijui na siwataki tu

    Kauli HIZO amezitoa mwenyewe Civilian-Coin akikanusha kuwa hajawahi kukutana Wala kuonana na watoto wa Rais mstaafu wa marekani Barack Obama na Hana mpango huo labda nafsi ikifunguka.
  5. Dalton Elijah

    SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  6. polokwane

    Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Watibeli tunajua Pesa inauma kuliko Mapenzi ndio maana hatumgharamikii Mwanamke

    WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
  8. polokwane

    Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  9. Kyambamasimbi

    Hivi wauza bia huwa mnawauliza Wanamiaka mingapi kabla ya kuwauzia maana haiuzwi chini ya 18

    Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
  10. Red black

    Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  11. S

    Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  12. papag

    Sasa hapa ana maana ipi?

    Eti wadau?
  13. TheGreatest Of AllTime

    Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
  14. R

    Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  15. Chizi Maarifa

    Kwa hili suala la Hotel sheria zinasemaje? Maana tusije fikishana mbali

    Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
  16. Sprouts pre School

    Rachel dangwa ilibidi akamatwe Mapema sana maana alikua anatumia matusi ya nguoni

    Habari Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia...
  17. O

    Mizigo ya harusi bila uwezo mzuri hainaga maana

    Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia, mmeshazalisnana maisha yanaendelea sasa hiyo sherehe kubwa ya gharama kwa wakati huo ni ya kazi gani? vijana...
  18. Shamuse_bey

    Maana sahihi ya Mzinifu na Malaya ni ipi?

    Habari Wana jf, Ni maana ipi sahihi ya Malaya na mzinifu? Ningependa kujua Mana zinanichanganya Sana.
  19. Gunner11

    Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
Back
Top Bottom