Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote.
Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
Watu wa maana, bila hawa dunia isingekalika.
Wakulima:- hawa uhakikisha jamii inapata chakula cha kutosha,matunda pamoja na mali ghafi za viwandani.
Wafugaji:- hawa uhakikisha jamii inakula nyama na bidhaa zingine kutumika kama malighafi viwandani.
Wamiliki wa viwanda:- hawa uhakikisha jamii...
Kichwa cha habari kinajieleza, naomba kukumbushwa maana hawa watu uwa mara nyingi ni wateule wa rais
Hivi Lazaro nyarandu anashauri nini rais?
Yanayofanywa kisiasa na kisheria hata mwalimu wa somo la sayansi kimu anaweza kukifanya hata badili kuwa ikulu
Ukienda Hospitali ya Amana hapa Dar es Salaam pale sehemu ya Malipo kuna mtumishi mmoja tu na hivyo kuwa na foleni isiyokuwa ya lazima., Inachosha sana na kutusumbua wengi tunaokuwa na uhitaji wa haraka. Uongozi ufanyie kazi suala hilo.
Anonymous
Thread
foleni
hospitali
hospitali ya amana
maana
malipo
sehemu
Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
A cognate offence is a lesser or related crime that shares several fundamental elements, class, or category with a primary, more serious criminal charge, even if it is not strictly a strict subset of it.
Key Characteristics
Shared Elements: It overlaps in core facts, intent, or statutory...
Ndugu zangu watanzania,
Kabla Sijaleta Andiko Zuri juu ya Hukumu ya Tundu Lissu hapo Baadaye kidogo ningependa kusema ya kuwa Lissu kaonewa huruma sana na kupewa miaka michache sana Gerezani.
Kwa Sababu kwa kanuni na sheria za vifungo vya wafungwa kwa upande wa Uhesabuji wa miaka inakokotolewa...
Naandika hii baada ya kuona hukumu ya kufungwa miaka minne kwa Mh Tundu Lisu.
Lakini ukiona aina ya hukumu hiyo imekaa kisiasa ikiwa ni kama kumkomoa au kumkomesha ili ashindwe kufanya shughuli zake za kisiasa na kijamii.
Sasa swali ni kwamba huo ushungi na majuba yana maana gani anapovaa...
Mmoja akauliza maswali ya kipuuzi nimtu namiheshimu very prominent
What if wakasema tukimuacha huru bila ka hatia kokote ni shida atatushtaki, bora kifungo au faini Maana faini wana Chadema watailipa tu! Haimaanishi lazima kesi kwe hivo kuna mtu kauliza
what if anafungwa kifungo cha nje miaka 5...
Katika ulimwengu wa mbinu za kujihami ( ngao combat ) ni mfumo wa kujihami wa tanzania, ila maneno ( ngao combat ) maana yake ni kama ifuatavyo
NGAO
ngao ni neno la kiswahili ambalo maana yake kwa kiswahili ni ( ulinzi au silaha ya kuzuia mashambulizi ya adui na kumshambulia adui.
COMBAT...
America siku zote inaonyesha njia, ndio maana ya big brother, hawacheki na kima. Unaharibu unalipwa hapa hapa duniani, hii aibu kubwa sana kwa Trumpuu! Futa doła 6 kwa galoni eti anacheka tu, wamekula za uso na kuonyesha dunia maana ya baba wa demokrasia! Elon na mchuzi wake watu wamekula na...
Kuna ndoto niliwahi zileta humu kulingana na tafsiri za wadau nyingi zilileta maana.
Leo nimeota hivi usiku.
Nilikuwa mm na mke wangu na mdogo wangu wa kiume ambaye pia naishi nae huku nilipo sasa tulikuwa tumetokea mjini tunatembea na mguu tunarudi kwenye mitaa tunayoishi.
Sasa njiani...
Mimi ni mwanaume wa miaka 39. Nimeoa na nina watoto kadhaa.
Nje ya ajira, pia ni mjasiliamali. Kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi, ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na...
Wanafunzi wengi katika Chuo cha Mipango, Kanda ya Ziwa, tumeshindwa kukamilisha usajili wa kuendelea na masomo kutokana na changamoto zinazosababishwa na mfumo wa NACTVET.
Tunaomba Serikali na mamlaka husika kuingilia kati na kufungua tena mfumo huo kwa angalau wiki moja, ili tuweze kukamilisha...
Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.