Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge.
Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
Anonymous
Thread
bunge
dhuluma
huwa
kipindi
maana
madereva
pesa
posho
shughuli
vitabu
wabunge
wapi
zao
Wana-JF,
Inavyoonekana, ulimwengu una aina fulani ya mzaha mchungu sana kwetu sisi walala-hoi. Katika miezi miwili hii iliyopita, msiba wa kitaifa umehamishwa rasmi kutoka kwenye vumbi la mitaa ya pembezoni ambako mamia ya walala-hoi walizikwa kwa haraka baada ya ile ishu ya Oktoba 29 ya mwaka...
Kwa heshima na taadhima ya JF haipaswi kutaja watu humu
Ila uchawa ni choice.
Na vitu unavyopaswa kuvifanya ili udumu katika fani ya uchawa ni KUPIGA CHINI UTASHI WAKO, KUPIGA CHINI UTU WAKO NA KUKUBALI KUWA MTUMWA.
Nimetafakari sana leo hii asubuhi na kulingamua hili,its totally lost of times on trusting what is not possible!...
Ni kuwa mwanaharakati,na kuwa busy kwa kushindana na kesi mbali mbali mahakamani alimradi tu,days count old came with no achievements.
Record mbalimbali zinatuonyeaha kwa waenga...
Unakuta mnaongalia nao chaneli za video zile ambazo zuchu anaimba matusi na wadada wake kutingisha makebo hadi wimbo unaisha.
Akitoka hapo anachukua simu yako anaingia instagram anakuta algorithim yako ni ya wadada wakiwa watupu wanakata viuno bila aibu
Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu.
Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
Tunaishi kwa matarajio makubwa sana..
Unadhani kutopata mke mzuri, kukataliwa na mtu tumpendaye na kukosa mahusiano mazuri ni kwamba hatuna thamani.
Tuna dhani wanaoendesha magari ya kifahari na kumiliki majumba ya thamani ndo wanamaisha bora.
Unafikiri kuwa kukosa kazi nzuri na kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
El Niño maana yake ni nini?
El Niño ni hali ya mabadiliko ya hali ya hewa inayotokea pale maji ya bahari ya Pasifiki katika ukanda wa ikweta yanapokuwa na joto zaidi kuliko kawaida. Hali hii hubadilisha mifumo ya mvua na joto katika maeneo mbalimbali duniani, ikiwemo...
Hey member Mko sawa!
Etiii nawauliza nawauliza kwenye dabi ya Bwana Mchengerwa naa UV CCM
Na nani anaenda kushindaa hii dabi🫡🫡🫡
Toa maoni bila kuwa mfitinii
Mchengerwa kasema UVCCM wananuka Rushwaaa!!
Nimeona wanamjibu huku na huku jee nani anaenda kushindaa💪💪🔋✅️
Wanabodi,
Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito
https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf
Ni kama ametangaza vita.
Mzee Pasco
Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Ukiua uhuru na uadilifu wa taaluma ya sheria, unadhoofisha utawala wa sheria; unapodhoofisha utawala wa sheria, unaweka rehani haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali na misingi ya demokrasia. Serikali ya wananchi haiwezi kuwa imara pale ambapo sheria inalinda mamlaka badala ya kulinda haki.
Wakuu, kuna jambo kuhusu lugha ya Kiswahili limekuwa likinifanya nifikirie kwa kina.
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi, mwalimu wetu aliwahi kumsahihisha mwanafunzi mwenzetu aliyesema, “Nionyeshe kalamu yangu ilipo.”
Mwalimu alieleza kuwa neno “onyesha” lina mzizi tofauti na “onesha”...
Zimebaki siku chache sana mwaka 2026 uishe je umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia na kufurahia?
mimi binafsi plan zangu zimetimia kwa at least 30%
#Welcome 2027
This is so weird to me.
Why are we normalizing the disappearance of whole human beings?
Wanapotea watu wazima kabisa na familia zao halafu jamii nzima ni kama imekubali tu acha wapotee!
Coverage kwenye vyombo vya habari, hakuna.
Tungekuwa na responsible media kungekuwa na continuous...
Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema.
kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.