lugha

  1. Shanily

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili chukueni hatua kabla hatujaondoa ladha ya kiswahili chetu

    Binafsi sio Mwalimu kwa taaluma lakini Huwa nafundisha wanafunzi Masomo ya ziada baadhi ya nyakati. Katika wanafunzi nilonao wengi hawajui matumizi sahihi ya herufi na matamshi yake. Mtu yupo darasa la 4 , la 5 na kuendelea , unajiuliza inamaana shuleni hawafundishwi na walimu wa kiswahili...
  2. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Nimempata mwanamke wa kizungu ila lugha haipandi nifanyeje?

    Manzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
  3. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania BahariPesa: Matumizi Mabaya ya Taarifa za Watu na Lugha za Matusi

    Kwa muda mrefu sasa,Kampuni ya Ukopeshaji Pesa ya Mtandaoni ijulikanayo kama BahariPesa imekuwa na Tabia ya Kutoa siri za wateja wao hasa wale wanaodaiwa na kutuma taarifa zao kupitia namba za watu wengine bila kuwahusisha watu hao pindi wanapotumiwa taarifa hizo. Pamoja na BahariPesa licha ya...
  4. hamis77

    JamiiForums Tanzania Vijue Vitabu vilivyotafsiriwa katika Lugha nyingi Duniani

    1. Biblia Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima). Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi zaidi kuliko kitabu chochote duniani. --- 2. Qur'an Idadi ya Lugha: Takriban 200. Maelezo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania "Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

    Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
  6. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa Kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili

    Habari !!! Natafuta mtu anayeweza kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili !!! Nitafte: 0683535699 kwa maelewano.
  7. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Lugha ni Wana tabia mbaya sana

    Msomi mmoja amewahi kusema Lugha ya kiswahili inamisamiati michache hivyo inakuwa ngumu kutafsiri vitabu vya Lugha zingine. Huu Nauita ni upumbafu kwa sababu lugha inakua na kubadilika kila wakati. Mabadiliko haya yanaweza kutokana na mambo mbalimbali kama vile maendeleo ya teknolojia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  9. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kiswahili imeongezwa kwenye huduma za Tafsiri, Utafutaji wa Sauti na GBoard kupitia Google

    Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google Translate'. Nchini Kenya na Afrika Mashariki, Google inasema inapanua toleo lake kwenye Utafutaji wa Sauti...
  10. dosho12

    JamiiForums Tanzania Lugha na mchango kwenye ufikiri

    Lugha ni nyezo ya mawasiliano ambayo imekuwa na msaada mkubwa kwenye maisha ya binadamu kwenye maendeleo yake katika kila nyanja iwe ni kiuchumi, kisiasa kisaioilojia kisayansi, binadamu katumia lugha kusambaza elimu na maarifa na mengine mengi ila unajua kuwa lugha inamchango mkubwa kwenye...
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

    Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence. Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at...
  12. B

    JamiiForums Tanzania UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

    Nianze na kabila langu kubwa la wasukuma "mwangaroka bhadugu bhane" "Yani habari zenu ndugu zangu" Tuendeleze Sasa makabila mengine kwa salamu....
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaotumia lugha chechefu kwa abiria waonywa, wasio na sanduku la dharura wapigwa faini

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na kuongea nao kabla ya safari kuanza huku likiwapiga faini madereva ambao hawana sanduku la dhalula...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Wilaya Meatu, Mahela Godfrey Njile aamua kutoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA

    Mganga Mkuu Halmashauri Ya Wilaya Meatu , Mahela Godfrey Njile akitoa Elimu ya kipindupindu Kwa lugha ya KISUKUMA katika kata ya Mbugayabang'hya. Pia soma: ~ Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu ~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Simiyu: Elimu ya kujikinga na Kipindupindu kutolewa kwa Lugha ya Kisukuma na Kiswahili

    Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya Kiswahili uelewa wa namna ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu. Aidha amemuagiza Mkurugenzi...
  17. Kson Investment

    JamiiForums Tanzania Kiha nayo ni lugha .

    Lugha yetuuu vipi unajua?
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima nikienda South Africa nijue lugha zao nyingine apart from English?

    Habari za muda, ndugu zangu. Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au...
  19. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
  20. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana lugha moja kujirudia mara mbili?

    Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo. swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan? Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo...
Back
Top Bottom