lugha

  1. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Asili ya ukahaba na lugha ya Ibo katika ghuba ya Benin

    Katika historia ya jamii za Kiafrika kandokando ya Ghuba ya Guinea, hakuna kabila lolote lililokuwa na neno la asili la kumaanisha ukahaba kabla ya kuwasili kwa Wareno mnamo mwaka 1455 BK katika Jiji la Bini, mji mkuu wa Dola ya Benin. Hali hii ilitokana na ukweli kwamba biashara ya mwili...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kujua lugha ya taifa lolote ukiwepo huko kuliko kuwa nchini mwako

    Kuna siku tulitembelewa na baharia ambaye ameishi pakistan,india,ufaransa na kwa sasa anaishi canada na hizo nchi zote kuangaika kwake ametumia mda mrefu tokea akiwa kijana katika safari ya kufikia nchini canada. Ila kilichonielewesha ni rahisi sana mtu kuelewa lugha za watu ukiwepo sababu...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya shilingi milioni 365 zimekopeshwa kwa wanafasihi na lugha

    ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 365 ZIMEKOPESHWA KWA WANAFASIHI NA LUGHA Mfuko wa uwezeshaji wa mikopo ya kisekta kupitia mfuko wa Utamaduni na Sanaa umewezesha miradi 23 yenye thamani ya Shilingi milioni 365.7 katika eneo la Lugha na Fasihi ambapo miradi iliyowezeshwa ni uchapishaji wa vitabu 6,000...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

    Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa. Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mke /mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye mboga ni lugha gani utatumia kumwambia?

    Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako atazidisha chumvi kwenye maakuli ni lugha utatumia kufikisha ujumbe ili usimkwaze 👉Aya tutiririke...
  6. S

    JamiiForums Tanzania unaweza kuishi hapa

    hii itakua mwanza rock city maisha yanataka utake risk lakini kuishi hapa ni zaid ya risk yenyewe
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kijana jitahidi ujifunze angalau lugha mbili za kimataifa

    Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema. Kwa Mtanzania jitahidi ujue...
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada Lugha ya Kifaransa

    Wadau Kwema Naomba kuuuliza ni wapi wanatoa mafunzo ya lugha ya kifaransa ndani ya Jiji la Dar es Salaam
  10. PamojaTz

    JamiiForums Tanzania Vitabu kwa lugha ya Kiswahili vinapatikana. Nicheki kwa Whatsap

    Kutokana na uhitaji mkubwa wa vitabu kwa lugha ya kwetu, hatuna budi kuwaletea vitabu hivyo (Softcopy na Hardcopy). Njia ya kuhudumiwa ni kupitia WhatsApp 0737317870 pekee.
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba hii ya Wamarekani itafsiriwe katika lugha zote, inatuhusu wote,

    Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo, kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
  12. Senior masai

    JamiiForums Tanzania Jifunze lugha za kibantu

    Habari wanaJF, Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu. Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu ukafanya kazi kwa mifumo ya sauti na maandishi Namna ya watu kutamka maneno pia kuyaandika. Mfano mtu...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

    Wakuu Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa? == Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA "Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lugha ya wanajeshi huko Congo ni Kiswahili na sio Lugha zao za asili?

    Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili Waasi wanatumia kiswahili Wa DR Congo wanatumia kiswahili Na wengine wengi majirani wanatumia kiswahili. Hawa jamaa wanalugha zao za asili ambzao sio Kiswahili. Kwa nini Kiswahili ?
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

    Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !! Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Maswali Kupima Ujuzi Wa Lugha Badala Ya Ujuzi Wa Somo Husika

    Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wasanii -Bongo movie siwaoni Energy Summit, tatizo lugha?

    Nilitegemea kama mlivyojikusanya Dodoma Mkutano Mkuu Mbogamboga na hapa Africa Energy Summit muwe wengi vile vile au lugha mzozo?
  18. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Lugha katika picha; Usinene ukamala

    Kila mtu huwa na Imani fulani kwenye haya maisha,lakini usiweke Imani kubwa kwenye battle ,yaani sehemu ambayo watu wawili ama watatu wanagombea. Leo timu kubwa yenye mafanikio,mvuto na ya maana Duniani Real Madrid inacheza leo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya. Ikiwa imemzidi...
  19. live on

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania inalazimisha lugha ya kufundishia elimu ya awali na msingi iwe Kiswahili?

    Hili swali Huwa najiuliza sana alafu sipati majibu Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui magumu wanayopitia watoto pale wanapoingia kidato Cha kwanza na kukuta lugha imebadirika ghafla? Hivi ni kweli hawa viongozi wa serikali hawajui umuhimu wa lugha ya kingereza ndani ya nchi yetu...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
Back
Top Bottom