Kiha ni lugha inayozungumzwa na wananchi wa wilaya zote za mkoa wa Kigoma. Waha ni watu wasiopenda sana kuongea lugha yao pamoja na kwamba lugha hii ya kibantu pamoja na Kirundi na Kinyarwanda kwa pamoja zinashika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi ya wazungumzaji baada ya Kiswahili.
Kwa wale...
Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba
sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe.
Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana.
Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati.
Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu.
Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
Kutumia mwaka mmoja kusoma lugha ya kichina na kuwa na fani ya udereva wa gari.
Kwa lengo la kufanya kazi na wachina maeneo mbalimbali inaweza kumtoa mtu kimaisha.
Mwaka mmoja unatosha mtu kujifunza lugha ya kichina na kuwa mtaalamu wa lugha husika?
Karibuni sana kwa mawazo na ushauri.
Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni
Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni.
Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi.
Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje?
Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”?
Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
Toka 2016 kumekuwa na ‘dead internet theory’ = nadharia ya kifo cha internet. Kwa kifupi, ndani ya internet za maongezi na majadiliano, kumeingiwa na akaunti za maBOT – yaani akaunti za maroboti zikijifanya ni za watu hai. Kwa hiyo ndani ya Whatsapp, fesibuku, Instagram, tiktok, nk unaweza kuwa...
NAtafsiri maandishi na video za youtube kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili kuwa katika mfumo wa PDF kwa bei ya kurasa moja 10,000 TZS , WASILIANA NAMBA 0756704145 (WhatsApp)
NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo,
Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu".
Hivi, ni namba za simu au namba ya simu?
Cc macho_mdiliko,
min -me .
Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (Congo DR) imetawaliwa na Ubelgiji (Belgium) tangu 1885 hadi 1960.
Kwa nini KIFARANSA ni LUGHA rasmi nchini humo?
Uzi tayari.
Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini...
Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.