Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Mzuka Wanajamvi,
Huyu Mghana tulikuwa tunabeba naye boksi pamoja. Akaomba mkopo benki akapewa kama/equivalent dollar za marekani elfu 40.
Hela ilivyoingia benki yani ilikuwa fujo. Kesho yake hakwenda kazini na kuacha kazi hata bila kutoa taarifa.
Akaniita tupige pombe. Nakunitambia hela na...
KARIBU Mo cargo Company Limited, has the right and affordable Logistic Solutions to your Cargo be, it small or big. With our in-depth domestic experience ( East and Central Africa ) in Clearing and Forwarding and considerable overseas experience on Imports/Exports , are able to tailor made our...
Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
Habari za asubuhi!
Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake.
Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date.
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
Jamiiforums kisima Cha maarifa.
Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
Habari,
Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na sms iliyotumwa tarehe 22/08/2023 kuhusiana na usahili?
sms inasomeka hivi:
"Tafadhali fika VETA Chang'ombe kwa usahili tarehe 25/08/2023 saa moja asubuhi ukiwa na kitambulisho kati ya hivi, NIDA/mpiga kura/leseni ya udereva/barua ya serikali ya mtaa...
Ni muhimu viongozi wetu wajifunze kuwa na busara wanaposhughulika na watu wanaotofautiana nao. NItaeleza.
Mnamo mwaka 2018 huko Kenya, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017 ambapo Uhuru Kenyatta alitangazwa kushinda kiti cha urais akimshinda mpinzani wake mkuu Raila Odinga...
Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia.
Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
Salaamu ndio desturi hasa katika jamii zetu hapa Tanzania, lakini kuna baadhi ya mikoa ambayo kuna wimbi kubwa la jamii ya watu Ambao hawaja staarabika.
Mfano mkoa wa Geita ni kawaida sana kumpa mtu Salaamu na akakataa kabisa kuitikia tofauti na mikoa ya pwani kama Tanga na kwingineko.
Mikoa...
Asalaam alykum.
Ndugu waislamu mliofanikiwa kupata Darsa mbali mbali , naomba Fatawa katika hili , kutoka katika kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia.
Hii habari ni kwamba figo ya nguruwe iliyopandikizwa katika mwili wa mtu huyo inafanya kazi.
Wabillah Taufiq
UKARIMU WA WATU WA PEMBA
Wenyeji wangu wananitembeza kila sehemu Pemba. Ndani ya gari yetu kumetiwa maji ya kunywa, majamvi na viti vya kukunja ikiwa vitahitajika.
Maji ya kunywa kuchukuliwa nimeelewa ila kilichonishangaza ni majamvi na viti.
Sikuwa na ujasiri wa kuuliza. Nimebakia kimya...
Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:
Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI.
Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv...
Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine.
Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe.
1. Mnamo mwishoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.