Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Wakuu habari.
Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu.
Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu.
Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000.
Niliweka oda na...
Za weekend wanaJF,
Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu.
Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha.
Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha .
Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!!
Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
INTRODUCTION.
Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.
MBINGUNI ni makazi ya Walio hai.
KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu.
Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho...
Hello,
Je, mtu akitaka kushift kutoka DUCE kwenda main campus inawezekana? First year GPA 4.8 , na ni step zipi za muhimu za kufata.
Reason: Kuna course ambazo hazipo Duce Bali zipo UDSM main campus kwa mwaka wa pili na wa tatu ambazo muhusika anataka to take along with his degree
Thanks in...
Wakuu habari za wakati huu,
Kama Taifa kwa miaka 60 tumeshindwa kupiga hatua katika kila nyanja hata mambo madogo yametushinda inashangaza hata mambo madogo ya wananchi kuzaa kwa mpangilio tu ili kumudu gharama za maisha haiwezekani?
Mtu ana chumba kimoja ana watoto wanne mtu huyu atapiga...
Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana.
Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu.
Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao.
Nimefikilia hawa wazungu kabla...
Umofia kwenu
Uteuzi uliofanywa na Rais Samia kwa kumtoa Maharage Chande TANESCO na kumpeleka kuwa Mkurugenzi TTCL na hatimaye ndani ya siku mbili akamteua kuwa PostaMasta inaleta tafakuri jadidifu kidogo.
Sisi wanaNzengo tunaweza kuwa na maswali yanayosumbua bongo zetu
Cheo cha Postamsta kina...
Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin
Wapo walioanza biashara kuuza karanga kutembeza mitaani hadi kuja kumiliki magorofa
Wapo walikuwa machinga mitaani wanatembeza ungo na...
Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika...
Habari wanajf
Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao
hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani.
Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
Habari wanajf
Japani ni nchi inayoendelea kwa Kasi Sana, vijana wapo busy sana , wanajali mda sana, na wanasaidiana wao kwa wao.
Hata mitandao yaao ya kijamii Ina mada zinazolenga kujifunza kitu fulani. Vijana wa kiafrika tuna mambo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa wajapani ili kulikomboa...
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
Wakuu,
Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao.
Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.