Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Wana-Jamii,
Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity."
Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo!
Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki!
Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
Habari
Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na...
Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao.
Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Ismail Jussa, amewashukia baadhi ya wanasiasa wanaokosoa mfumo wa Muungano na uwepo wa Rais kutoka Zanzibar, akisema wameanza kukumbuka "Utanganyika" wao kutokana na chuki binafsi dhidi ya viongozi waliopo badala ya kusimama kwenye misingi ya kisheria na...
Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam.
Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026, na kitaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
"Mzee Warioba kwa umri wake hana...
Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki:
1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu.
2. Hakuna mkubwa kuliko chama.
2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
Kama unatafuta suluhisho la kidijitali kwa ajili ya kukuza au kurahisisha uendeshaji wa biashara yako, FellaHost inakuletea huduma mbalimbali kwa bei nafuu na ufanisi wa hali ya juu:
Web Hosting & Domain Registration: Usajili wa majina ya tovuti (.com, .co.tz, n.k.), hosting zenye kasi kubwa...
Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi
1-Kupitia Payoneer
2- PayPal
3-Direct kuja bank zetu hizi
Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
Wanabodi
Kwanza samahani kwa udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!,kiukweli ni ujinga,https://www.jamiiforums.com/threads/shurti-la-kudhaminiwa-na-chama-kugombea-uchaguzi-ni-shurti-batili-kwa-mujibu-wa-katiba-linatutia-hasara-tulifute.1388948/
Tena ujinga...
Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology
Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa
Source: Africaninsider
Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu:
Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman
Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi
Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.