kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Karibuni Muone Mpira kutoka kwa Mabingwa wa EPL na Mabingwa wajao wa UEFA!

    Tunakipiga na Slavia kutoka Czech. Arsenal Bingwa
  2. ndege JOHN

    Tanzania October 29: Hatua tatu ambazo zinaweza kuipeleka nchi kwenye civil war au kuporomoka kwa serikali kutoka ndani

    Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study. Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
  3. A

    DOKEZO Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS hatujapata mkopo mwaka wa mwisho kutokana na HESLB kutambua tunasoma miaka mitatu badala ya minne

    Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS tunakabiliwa na changamoto ya kutopangiwa mikopo kwa mwaka wetu wa mwisho wa masomo (2026/2027). Changamoto hiyo inatokana na tofauti ya muda wa masomo unaotambuliwa na HESLB na ule unaotumika chuoni. Mfumo wa HESLB unatutambua kuwa tunasoma programu ya...
  4. ShesRise_1

    Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  5. B

    KERO Tunaomba UDOM kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa program za masomo

    Tunaiomba uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuharakisha na kuboresha utaratibu wa kushughulikia maombi ya uhamisho wa programu za masomo (Course Transfer). Wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao huwasilisha maombi mapema hulazimika kusubiri majibu kwa muda mrefu, huku masomo na moduli za...
  6. papag

    Kilio kutoka IFAKARA

    VICHAKA VYA MASHOGA IFAKARA NI HIVI. Kwenye kikao tulichokaa jana mjini Ifakara timu ya kupambana na vitendo vya kishoga na mashoga tumebaini maeneo wanayoyatumia mashoga kuficha movements zao za ushoga. 1. Saluni. Kuna saluni za kusapoti ushoga na nyinginezo za kusapoti usagaji. Mashoga...
  7. projectman

    Nafasi za kazi kutoka kampuni ya QTS-QUICK TRACK SOLUTIONS LIMITED (Fumigation)

    Nafasi za kazi kotuka kampuni ya quick track solutions limited katika Nafasi zifuatazo. 1. Fumigation 2. Marketing 3. Project Leader SIFA ZA MUOMBAJI 1. Lazima awe amesomea au anao ujuzi unaohusiana na fumigation and pest control 2. Umri usiopungua miaka 21 3. mkazi wa Dar es salaam 4...
  8. B

    Kukauka Midomo na kutoka viganda

    Wadau nina mtoto wa miaka 5, akiwa na miuaka 3 midmorning yake ilianza kutoka kutoka viganda. Hospitali walimuangalia na kumpa dawa ya kuongeza madina ( hawakusema madini gani). Hadi sasa midomo inakauka na kutoa viganda. Haumwi wala nini, isipokuwa hii midomo inanishangaza maana inakuwa hivi...
  9. Carlos The Jackal

    CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  10. Echolima1

    Kiongozi wa maandamano huko Ufaransa ni Yazan Majdal Abu Sammour Mhamiaji kutoka Gaza!!

    Yazan Majdal Abu Sammour, mhamiaji Mpalestina mwenye umri wa miaka 23 ambaye ana uraia wa Ufaransa, alirekodiwa katika Place de la République jijini Paris akiwashutumu polisi wa Ufaransa kwa kutumia mbinu za kudhibiti umati wa watu za "kikoloni" za Israeli dhidi ya vijana kutoka vitongoji. Abu...
  11. Sifi Leo

    Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  12. Daniel Aloyce Daniel

    Naweza kununua Tani 30 ya cement kutoka kiwandani?

    Natamani kujua kama naweza kununua Tani 30 ya cement kutoka kwenye kampuni kama twiga na Simba cement. Maana nasikia kuwa wanaruhusu order kutoka kwa mawakala wao pekee, je naweza kuchukua kutoka kiwandani kama nachukua Tani 30? Na vipi kuhusu usafiri, Huwa Wana offer usafiri au unakodisha gari...
  13. N

    'Mtumba' (kama zile nguo chakavu kutoka Ulaya) sio jina sahihi la kuuita Mji Mpya, wa Kisasa tena Mali ya Serikali. Watunga sera wale waliwaza nini??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kwa mfano neno "takataka" au "mbwa" hata kama yana maana nzuri katika kabila lako, unaweza kumpa mtoto wako jina la namna hiyo akaishi nalo hapa Tanzania?? Kama jina Mtumba ni zuri basi Zaa mtoto kisha muite jina MTUMBA uone kama atasoma kwa raha huko shuleni mbele...
  14. Echolima1

    Marehemu Mojtaba Khamenei ajitutumua kutoka kaburini!!

    Marehemu Majitaka Khamenei Aonya Kuhusu Kukabiliana Bila Mipaka ya Kijiografia, Aamuru Orodha za Walengwa Zisasishwe Majitaka Khamenei amewaamuru makamanda kusasisha orodha za walengwa wa Marekani na Israeli na kuandaa majibu ya haraka kwa vitisho, huku akiwasilisha uratibu katika nyanja za...
  15. R

    Kutoka mitandaoni

    Ujumbe maridhawa, anayetaka asome, asiyetaka just skip, usitukane
  16. R

    Kwa nini Aliens kutoka anga za mbali hawajawahi kutufikia duniani??

    https://youtu.be/92sonpfS18U?si=LmJKb6a5XRMFnHQW
  17. C

    Tanzania yashika nafasi ya tano kwa utawala Bora Afrika na duniani namba 80

    Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
  18. AXIOM APEX VERBOSE

    Hivi unajua ya kua neno BUZA limetoholewa kutoka kwenye neno BUDDHA?

    Aaaha Wakuu, Ni hivi na wewe ulikua unajua hii? Kwamba; Sijui km unajua na km ulikua haujui basi leo ngoja nikujuze na utakua umejua na ninajua ulikua haujui basi leo umejua hili neno Buza kwa Mama Kibonge, Buza kwa Mpalange, Buza Kanisana, Buza kwa Lulenge, Buza limetokana na neno Buddha...
  19. D

    KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  20. K

    Kutoka Madhabahuni hadi Kwenye Ukweli: Kwanini Siamini Tena Dini Tulizoletewa

    Utangulizi: Malezi Yangu na Mwanzo wa Shaka Nimezaliwa na kulelewa katika mazingira ya Kikristo yenye misingi thabiti. Tangu utotoni, nilikuwa muumini mzuri, mfuatiliaji wa mafundisho, na mtoto niliyebahatika kusoma katika shule za misheni. Huko ndiko nilikolishwa Biblia kwa mara ya kwanza...
Back
Top Bottom