kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bunge kuanza kupokea maoni kuhusu miswada sheria za uchaguzi

    Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. Maoni hayo ya miswada hiyo iliyowasilishwa kwa mara ya kwanza Novemba 10 mwaka huu itawasilishwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umesikitika kifo cha Emir wa Kuwait, lakini umenyamaza kuhusu vifo vya Watanzania

    Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel. Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni kuhusu kesi ya Wanachama 19 wa CHADEMA

    Hukumu ya wanachama 19 wa CHADEMA ilitolewa na Mhe. Jaji Mkeha kuhusu wanachama 19 wanaodaiwa kuwa walijipeleka Bungeni bila ridhaa ya Chama chao. Hukumu imetoka na kueleza kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata taratibu zote kuhusu kuwafukuza. Pili hukumu imetoka kuwa kulikuwa na dosari katika...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ijitathimini kuhusu mikopo ya elimu ya juu . Hali ni tofauti na inavyodhaniwa

    Serikali ya awamu ya Sita hivi karibuni ilijitutumua kuwa inao uwezo wa kulipia wanafunzi wote wanaoqualify kupata mikopo elimu ya juu ,ila pia ikaenda mbali na kupiga siasa kuwa itawakopesha wanafunzi wa elimu ya kati. Ki ukweli hali ni tofauti wanafunzi wengi wenye vigezo hawajapewa...
  5. JamiiForums Tanzania Mnamjua kakakuona wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda?

    1. Huyu bwana nyakati za vipindi vya kawaida kumuona shuleni ni nadra sana kwa mwezi anaweza kuhudhuria vipindi siyo zaidi ya mara 4. 2. Majukumu mengi ya kituoni mfano kusimamia mitihani ya ndani huwa hayafayi kabisa na tangu aajiriwe kajaribu mwaka Jana tu mwishoni baada ya taarifa zake...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Kosa Gani La Kawaida • Ambalo Watu Wanalo Kuhusu Wewe?"

    Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:- • Watu wengi wanapata ugumu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

    Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani. Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
  9. JamiiForums Tanzania Bangi ihalalishwe, Sheria zinazotumika kuhusu Bangi. Ziende kudhibiti Ushoga

    Haki za binadamu, ni haki gani hizi ambazo zinaharibu nguvu kazi!!!. Ushoga na matumizi ya bangi kipi bora?, Kwa nini suala la ushoga Serikali imelikalia kimya?, je, Sheria za Tanzania kuhusu ushoga zinazemaje, vitendo vya ushoga ni kosa la jinai nchini Tanzania kama yalivyo makosa mengine...
  10. JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Bunge limedanganya kuhusu elimu ya Nape Nnauye

    NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw. Nape Moses Nnauye nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya Advanced Certificate of...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Maisha ya Mwanadamu

    Maisha wakati mwingine huonekana kutokuwa na maana, lakini ni mwalimu bora kwa mwanadamu uwe jeuri na mkaidi ila Maisha ndo yatakufunza vyema. Kila uzoefu na hali mbaya tunayokabiliana nayo ukitazama ndani yake basi kuna somo kubwa ndani limejificha kwake, ajabu ni kwamba wachache sana wanaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Taikon na Mchungaji Jonathan Kanjunju kuhusu ushirika wangu katika kanisa lake

    MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim of paradise "The Church of the Cherubim of Paradise" lililoko jijini Dar es salaam. Huu ni mwaka...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabianchi yawafanya wanasayansi kuwa na wasiwasi zaidi kuhusu athari za sayari katika miaka ijayo

    Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita. Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
  14. JamiiForums Tanzania "Sipendi kupangiwa Maisha" Ndio maana sifikiri kuhusu ndoa

    Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa). Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae nipangia taratibu za kuishi na kuendesha mfumo mzima wa maisha yangu. Nimeweza tofautiana na watu...
  15. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana anauma na kupuliza kuhusu maendeleo ya Mkoa wa West Lake (Kagera)

    Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha. Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanasoka mbona Kuna kimya kuhusu Onana wa Simba!

    Wilson Onana alisajiliwa kwa mbwembw sana, tambo zilikuwa nyingi mno, zikihusishwa kuwa eti Simba ilishauriwa na Samwel Etoo kuwa Onana ni mtu nanusu. Baadaya ya msimu kuanza mambo yalikuwa tofauti Onana akawa Si lolote si chochote Uwanjani! Bila shaka lilikuwa ni suala la muda tu kuvunjiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Netanyahu azungumza na Putin kwa dakika 50, amkaripia kuhusu Putin kuonekana kama ambaye haeleweki kwenye huu ugomvi

    Ikumbukwe kuna kipindi Putin alikua kiboko cha haya magaidi, kayalipua sana ila hivi majuzi haeleweki eleweki, ila inawezekana kutoeleweka kwake kunatokana na aibu anayofanyiwa kule na kataifa kajirani, Ukraine...........hiyo aibu imemfanya achanganyikiwe.... Prime Minister Benjamin Netanyahu...
  19. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Tanzania nitakujibu

    Uliza chochote kuhusu Tanzania nitakujibu
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia?

    Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa. Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote. Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike? Kwa wale wanaotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…