Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu.
Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida...
Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana....
Historia kamili hii hapa,
Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa.
Bahati...
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.
Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?
Lakini pia hakuna...
Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo.
Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM.
Leo Mzee...
Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google.
Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na...
Wanaukumbi,
Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.
DF...
Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani.
Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
Wasalaam wana jamvi
Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara.
Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa.
Asanteni.
Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji.
Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu.
Kuchonganishwa na baadhi...
Heshima kwenu ndugu zangu!
Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi!
Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
Nawapa alarm TAKUKURU, Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani inanuka wizi wa fedha za wananchi kupitia urasimishaji wa makazi na upimaji wa viwanja katika kata mbalimbali ndani ya Mji wa Kibaha hasa, Kata ya Pangani kwenye mitaa ya Kidimu, Lumumba na Mkombozi.
Kwanza awali wananchi...
Iko hivi
1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar.
2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira.
3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu
Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa...
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli.
Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
Wakuu habari za wakati huu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya Kupambana na Mungu kuniwezesha kupata kiwanja. Natamani sana kwa mwaka ujao Mungu anisaidie nianze ujenzi.
Ila ningependeza nianze na vyumba viwili kwanza (chumba na sebule) ili ni niweze kuhamia kwangu kwa kuwa bado...
Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.