kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Taarifa za Fedha za Biashara

    Angalizo: Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza onana na muhasibu au mshauri wa kodi aliyesajiliwa na mamlaka husika. Utangulizi. Katika biashara...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa waliopaza sauti kupitia JF kuhusu anajiita "Kiboko ya Wachawi"

    Natoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri. Kupitia hapahapa JF kulikuwa na maandiko kadhaa kuelekea TCRA kuwa wajiridhishe kuhusu kituo cha Redio kinachorusha habari zake, takribani wiki sasa redio...
  3. JamiiForums Tanzania Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

    Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada. Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho tunafanya. Kwa mfano, nikiwa nina hamu ya soda nitanunua kwa lengo la kunywa ili kukidhi ile kiu...
  4. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya hali ya hewa kuhusu swala la mvua na mafuriko

    MJADALA WA MAWAZO : Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kinaweza kusababisha mafuriko kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo: Mvua kubwa na ya muda mrefu. Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kunaweza kusababisha mvua kubwa na ya muda mrefu ambayo inaweza kuzidi uwezo wa mifereji ya maji ya asili...
  5. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga. Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kuelewesha kuhusu kutafsiri move za action

    Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema. Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki [sauti] Sasa juzi juzi nikajalibu kutafasri crip moja ya kizungu, hakika niliipatia kiasi japo sio...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu biashara ya vifaa vya electronics

    Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
  10. JamiiForums Tanzania Wanaijeria wapata wasiwasi kuhusu hali ya ASAKE baada ya kuonekana kachoka na maisha

    Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti. Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya pesa kwenye Account za benki. ASAKE aliyezoeleka kuwa ni mtu wa fashion za kuvutia, siku hizi amekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu haliya mvua na maafa ya mafuriko nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA MVUA NA MAAFA YA MAFURIKO NCHINI
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na Mvua Kubwa katika Mikoa ya Morogoro na Pwani

    Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Ijumaa, Aprili 12, 2024 3:30 Asubuhi Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/nUer3g5TXCs?feature=shared UPDATES Mvua na Mafuriko Itakumbukwa kwamba tarehe 24...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani

    Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema katika Ziara yao Katavi na maeneo mengine watasikiliza kero za wananchi lakini siyo zile zilizoko mahakamani Makala amesema wanajua Wananchi Wana changamoto mbalimbali na kimbilio lao ni CCM Source Jambo TV ====== ====== KAULI YA MAKALLA Katibu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Tuongee kuhusu Teuzi za viongozi

    Serikali ni taasisi ambayo inaundwa au wenye muunganiko wa watu wenye lengo/dhumuni la kutoa huduma kwa wananchi (wao),serikali kama taasisi hua inakawaida ya kujenga misingi imara ya kikanuni na sheria kwa minasaba ya kuhimili/kudhibiti tabia,hali/situational au maamuzi. Teuzi ni mchakato wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

    Wakuu, Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
  16. JamiiForums Tanzania City Garage/ Mechanic Experience: tusanue, tudokeze ama tutahadharishe kuhusu fundi gari au huduma

  17. JamiiForums Tanzania UVCCM Wawasili Rufiji Kutoa Faraja kwa Wananchi

    ✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI. Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi kuhusu Rufiji

    Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI. Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI? Tiririka mawazo yako yanaweza kuonekana. Unaweza kusimama kama waziri, injinia, mkurugenzi wa TANESCO, meneja wa bonde la...
  19. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yaunga mkono msimamo wa India kuhusu Kashmir

    Katika taarifa ya pamoja na Pakistan nchi hizo mbili zilitoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano kati ya Mrithi wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman Al Saud na Waziri Mkuu wa Pakistan Shehbaz Sharif. RIYADH: Saudi Arabia inaonekana kuunga mkono msimamo wa India kuhusu Jammu na Kashmir katika...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika kuhusu ujauzito wangu

    Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu. Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35. Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…