kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

    Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo: - Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
  4. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  6. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro: Boniface Jacob na Malisa hawakingwi na Sheria

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria ya watoa taarifa kulindwa, haimaanishi watu kujikite kutoa za uongo, huku wakidai walindwe. Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Aprili 28, 2024 alipotoa elimu kwa umma akijibu kilichoelezwa na Meya wa zamani wa...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

    Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo. Lakini ni tofauti kabisa na...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Tech naomba elimu yenu kuhusu Apps na websites

    Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani? Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Boniface na Malissa: CHADEMA yatoa neno

    Ujumbe wao huu hapa Pia soma!
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

    Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
  12. Investaa

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

    Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa yaipuuza Israel kuhusu UNRWA

    Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bakari Msuya TBC 1 na David Mayunga TBC Taifa Walipofika Maktaba Kunihoji Kuhusu Muungano

    TBC1 BAKARI MSUYA NA TBC TAIFA DAVID MAYUNGA WAMEPIGA HODI MAKTABA: KIPINDI CHA MUUNGANO Sikutegemea kuwa nitatembelewa kwa siku moja na vijana hawa watangazaji hodari kutoka TBC 1 Bakari a Msuya na TBC Taifa David Mayunga kunihoji kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa barabara za kiwango cha lami

    Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini. Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake. Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini amewekwa Mtanganyika mmoja na Wazanzibari watatu why?
  17. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu tabia ya Uchepukaji

    Habari za wakati huu wana Jamii Forums, Kwa mtazamo wangu kuchepuka ni tabia ya mtu inayotokana na kuendekeza tamaa za mwili, ndiyo maana wanasaikolojia wamethiibitisha hilo kuwa ONCE A CHEATER ALWAYS A CHEATER. Wanaume\Wanawake wengi hutoa sababu ya kuchepuka wakidai hawaridhishwi na mwenendo...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Utu

    1. Watu watakuheshimu kulingana na jinsi unavyojiheshimu, unavyozungumza na watu na jinsi unavyowatendea watu walio karibu nawe kwa heshima na nguvu nzuri. 2. Hakuna kiasi cha rushwa kinachoweza kufanya watu wakupende ikiwa wewe ni mtu mbaya. 3. Tabia njema huwavuta watu kwako, wakati tabia...
  19. Xi jiping

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaouma kuhusu wewe

    Kwa umri uliofika. 1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine. 2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa. 3.Wewe siyo Super human : Acha kuwaza kama uko kwene movie : Kamwe usimwambie mtu “Utanifanya nn ww” vyakukufanya...
  20. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini? 4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba. Lakini vipi pia...
Back
Top Bottom