Angurumapo simba mcheza nani? Ngurumo za John Heche jimbo la Tarime zimemtikisa Waitara, na anaomba serikali itoe msimamo kuhusu mgawanyo wa majimbo.
Waitara anatoa hoja hiyo wakati hata timu hazijaingia uwanjani na refa hajapuliza kipyenga.
Mang'ana ghasarikile!!
Waitara ni moja kati ya...
Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000.
Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili.
Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
Salaam,
Katika harakati zangu za kusaka tonge, yupo jamaa ambae nilifahamiana Naye katika biashara, tukawa tumezoeana hadi ikafikia kipindi akiwa na shida na hela namuazima ila anaacha gari yake kama bond, akienda akasupply mizigo yake akilipwa ananirejeshea pesa zangu na yeye anachukua gari...
Wanaukumbi.
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese amesema leo kwamba Idara ya Mambo ya Nje na Biashara ya nchi hiyo imemwita balozi wa Israel kuhusu mauaji ya Zomi Franckom, raia wa Australia.
Franckom ni mmoja wa wafanyakazi wanne wa kimataifa wa Jiko Kuu la Dunia (WCK) waliouawa jana...
Kupiga ubalozi wa Iran ni mithili ya kushambulia ndani ya taifa la Iran, Israel wameendelea kuua wakuu wa jeshi la Iran, jana wamepiga ubalozi wa Iran na kuua wakuu wa jeshi humo, nilitegemea Iran ifanye kitu cha maana ila ndio hivyo!
================================
Russia condemned an...
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa..
Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile .
Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
Kuna mbingu Saba
Bahari Saba
Ardhi Saba
Binadamu ana matundu Saba
Kuna siku Saba Katika wiki
Waislamu wanazunguka mara Saba kule Kaaba
Kiama kitatokea siku ya Saba ambayo ni Ijumaa
Waislamu wakiswali wanasujudu kwa viungo Saba,,kwa maana paji la uso na pua moja, vitanga viwili vya mikono, magoti...
Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama.
Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa siku naenda nalamba. Na wote hao wameshaolewa tena.
Wawili katika hao watatu wakinipangia ratiba...
Hello
Shalom!
Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo.
Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu.
Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa ndani yake.
Asitokee mtu yeyote akawageuza Wakristo wenzake kama chanzo cha mapato yake.
Watu wajue...
Habari ndugu wana Jamii Forums,
Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo.
Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
Nazungumzia mtu ambaye kwa kiasi kikubwa mpo karibu sana..
Yaani kama ni mpenzi yeye anataka udaku, kudinyana, romance...
Rafiki naye, stori ni za Mahusiano tuu, n.k
Kwa ufupi hakupi challenge yoyote ile.., kuna mda unahitaji kua peke yako ili angalau uwaze nje ya boksi,
Ukimshirikisha...
Kuna watu wamekua wakiona Urusi kama mkombozi wao dhidi ya Israel na Marekani, haya sasa Israel imejipigia pale Syria na hiyo Urusi haikufanya kitu zaidi ya kulia lia......
Russia has condemned what it said were "completely unacceptable" Israeli strikes on Syria.
Israel carried out its...
Sichangii chochote angalia mwenyewe
"Kasi ya ubinafsishaji/ugenishaji wa rasilimali za taifa inatisha. Ubinafsishaji kiholela ni ufujaji wa mali ya umma= uwizi wa jasho la wazalishaji.Tujifunze kutoka historia.Hakuna nchi inayoweza kuleta maendeleo halisi ya waliowengi bila kuthibiti njia nyeti...
Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo;
Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake?
Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
Habari wakuu,
Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi.
Sasa leo katika kupekua pekua ID's zangu nimekutana na Card ile ya NSSF na nikakumbuka hawa jamaa...
Saumu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan inapokaribia tamati, Waislamu huhitimisha ibada hiyo kwa kutoa Zakat al-Fitr, ambayo pia hujulikana kama Sadaqat al-Fitr au Zakat al-Fitrah. Hii ni sadaka ya lazima kutolewa kwa ajili ya maskini na wenye shida ili nao waweze kusherehekea Eid al-Fitr, sikukuu ya...
Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo haraka lililokuwa linafanya safari kutoka Kivukoni Moroco.
Hali hiyo ilitokana na abiria wengi...
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.