kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya

    Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu iende mbali zaidi Watanzania wajue ukweli..
  2. JamiiForums Tanzania Uchumi: Kama unaogopa kuchukua RISK basi fahamu unajenga ndoto za aliyekwisha chukua, na sahau kuhusu hela

    Maskini akitaka kufanya biashara anajiulza vipi kama nitapoteza? Then anagairi. Wakati matajiri hua wanajiuliza vip kama itafanikiwa?then anachukua hatua. (rudia tena kusoma hiyo sentensi) Ukweli ni kwamba kila kitu unachoona kimefanikiwa kilianza na uncertainty. Yaani hakikua na uhakika ama...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeisikiliza VAR ya cloud tv kuhusu Rashford jamani

    Rashford ni mchezaji wa kiwango cha juu sana. Mchambuzi huyu wa clouds tafadhali hii irudie watu waisikie kuhusu Rashid wa man united
  4. O

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada tutani kuhusu video downloader

    Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Serikali (ajira ya 2021 mwezi wa 7), tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja

    Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
  6. JamiiForums Tanzania Hii mbungi ya Monaban na Mojaa kuhusu shamba imenichekesha sana

    Watu wa Arusha tunawatambua hawa watu wawili kwa CV zao za mambo meusi. Wote wanalalamikiwa na wengi kama watu wasio na mienendo inayofaa. Monaban katajwa mara nyingi kwenye migogoro ya viwanja. Anatuhumiwa kudhulumu. Huku Mojaa naye akitajwa kama jambazi mstaafu. Sasa hapa kesi iliyopo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake tuwekane sawa kuhusu 'kukojozwa'

    Wanawake wengi huwa wanalaumu kwamba mwananaume hamkojozi wakati huo huo haelewi chochote kuhusu kukojoa. Iko hivi suala la sex ni suala la kisaikolojia,huw linakuwa pevu pale mtu ambapo mood yake inakuwa relaxed na attention kwa shughuri hiyo,na suala hilo linapaswa lifanyike katika hali ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB

    Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa. Ni takribani wiki ya pili sasa baadhi ya wanafunzi wanaotumia...
  9. JamiiForums Tanzania CHWs wa Ruangwa Tunaomba Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Posho na Upatikanaji wa Vifaa vya Kazi

    Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu. CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Baraza la Seneti limegundua yafuatayo: Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji. Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Muswada wa Marekani kuhusu Tanzania Wazi!

    Upotoshaji wa akina Maria Sarungi, Liberatus, na wenzao (Misinformation from commercial activist). Leo Maria Sarungi na genge lake wameibuka na upotoshaji kuwa mswada kuhusu Tanzania unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Seneti la Marekani Juni 17 mwaka huu haujafanyiwa marekebisho. Ukweli...
  12. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  13. JamiiForums Tanzania Je Taarifa Hii Iliyochapishwa na Jarida la Mambo ya Intelijensia Afrika Ina Ukweli Wowote Kuhusu Namba Samia na Nchimbi. Serikali Ikanushe

    My Take Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu. Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni vyema Serikali ikakanisha. Mjumbe Hauwawi...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

    Bingwa atakuwa Croatia. Mimi sio mchawi. Sio mtabiri. Sio Ostaz. Sio Mtume na Nabii. Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo. Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu upinde wa mvua

    Kwa masikitiko shet'ani anatumia kila kitu kinachofanana na Mwenyezi Mungu ku 'brain wash' kizazi cha sasa. Kwa imani mbalimbali upinde wa mvua ni Agano kati ya Mungu na wanadamu,,,Rastafarian na hata Wakristo,,,,,, (Mungu hataiangamiza dunia kwa gharika), Sunday school kulikuwa na mafundisho...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla hujashabikia chama: Mambo 7 ya kujua kuhusu itikadi za kisiasa

    Watu wengi hujiunga na vyama vya siasa kwa sababu ya ushawishi wa marafiki, familia, viongozi maarufu au hisia za wakati huo. Hata hivyo, hatua muhimu ambayo mara nyingi hupuuzwa ni kuelewa itikadi ya kisiasa inayosimamia chama husika. Itikadi ndiyo msingi wa mawazo, sera na maamuzi ya chama...
  17. JamiiForums Tanzania Papa leo kuhusu vita ya Irani

    KATIKA NDEGE KUTOKA ROMA KWENDA MADRID JANA, MWANDISHI MMOJA ALIMUULIZA PAPA KUHUSU VITA VYA IRAN. JIBU LAKE: "Hakuna vita vya haki." Papa Leo XIV alikuwa akisafiri kwenda Hispania kwa ziara ya siku sita. Waandishi wa habari waliokuwa ndani ya ndege ya kipapa walimuuliza kuhusu vita vya Iran...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge JF nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu wanawake na saikolojia yao kwa ujumla

    Wanawake wanapenda ngono sana sana... nimegundua kwamba, huenda wao ndo wanapenda sana ngono kuliko wanaume. kitu cha kushangaza ni kwamba huku mitaani au sehemu yoyote ukimface wanawake huonyesha kwamba hawapendi, na kwamba wewe ndio unamconvice apende. kwakua huku ni anonymous, wanaonyesha...
  19. JamiiForums Tanzania BAGAMOYO: Maiti sita zaokotwa mtoni zikiwa ndani ya viroba

    Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya Sandarusi maarufu viroba vya uzito wa Kilogramu 200, huku zikiwa zimeharibika vibaya Diwani wa Kata ya Makurunge, Paul Kabile alisema maiti hizo ambazo ni...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yasema hakutakuwa na Public Participation kuhusu Ebola Facility: Je, Sauti ya Mwananchi inasikika?

    Health CS Aden Duale amesema kuwa serikali haitafanya public participation kuhusu mpango wa kuanzisha Ebola quarantine facility katika Laikipia Air Base, Nanyuki. Kulingana na CS, sheria za afya ya umma zinairuhusu serikali kuchukua hatua za haraka wakati wa tishio la afya bila kushauriana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…