TAARIFA KWA UMMA
KUH: KISIWA CHA LUPITA KILICHOPO KATIKA ZIWA TANGANYIKA, ΤΑΝΖΑΝΙΑ
Dodoma 31 Agosti 2026
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeona kupitia mitandao ya kijamii taarifa kuwa mwekezaji Bw. Tim Draper anakusudia kuuza ardhi katika kisiwa kilichopo Ziwa Tanganyika nchini...
Naomba kufichua suala linalowakumba baadhi ya wateja wa SportyBet. Kumekuwa na hali ambapo, kwa mfano, mechi za Real Madrid na Viking zinawekwa void baada ya wateja kushinda, huku fedha zikikatwa au kuondolewa bila maelezo ya wazi wala taarifa kwa wateja.
Kinachoshangaza ni kwamba fedha...
Erythrocyte msipokuwa wakali na tabia hii ya kuhongwa na kuwapa mwanya wa kuropoka we are heading to a disaster! Heche alikemee hili wazi wazi kuwa mwenye mamlaka ya kutamka contents of that nature ni Makamu Mwenyekiti/Heche peke yake!
Toeni "Executive order" kuwa issue za maridhiano and the...
Kanuni za asili zinafuata sheria ya asili isiyokosea the law that doesn't err" . Hakuna kinachotokea bila sababu chanzi kwa sababu katika asili kila kitu ni sababu na matokeo. Mtu ni zao la sababu na matokeo yake.
Siyo lazima ulipwe wema kwa sababu ya matendo yako mema uyatendayo leo...
Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu,
Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi, baada ya dogo kuwika sana, alipata limama inasemekana ni la kizanzibari, huyo mama akaingia kwenye...
Jana jumamosi nilikuwa nasikiliza kipindi cha Tunu Zetu radio Amani ya jimbo katoliki Arusha. Padri alikuwa na mada ya Utatu Mtakatifu ambayo aliianza na ataendelea nayo. Niliwahi kupeleka hoja kwa Madrid, maaskofu na wanateolojia wakatoliki kwamba Mungu ni mmoja aliyejidhihirisha katika...
Mfanyabiashara maarufu Duniani Timothy Cook Draper (Tim Draper) ametangaza kupitia mitandao ya kijamii (X) kuuza kisiwa chake ,katika ziwa Tanganyika nchini kwetu Tanzania kwa gharama za dola za Marekani Milioni 7.9 sawa na Shilingi za kitanzania billioni 20.89.
Jambo hili limestua na kuzua...
Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji.
1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio
Tanzania imeendelea...
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
aibu
asilimia
ccm
demokrasia
jaji
jaji warioba
katiba
katiba mpya
kauli
kuhusu
makubaliano
mchango
mkutano
mpya
muhtasari
siri
uchaguzi
uchambuzi
uhaini
ukweli
ukweli wa
ushindi
vifo
vifo vya uchaguzi
wimbi
Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji.
Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine?
Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia wataalamu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, imefanya kikao na Kampuni ya Barrick North Mara Gold Mine pamoja na viongozi wa Vijiji vya Matongo na Nyangoto, kwa lengo la kujadili maandalizi ya utoaji elimu kwa wananchi kuhusu zoezi...
Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu.
Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako.
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. polepole
6. Nchimbi...
Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka.
Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni.
Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (Boniyai), amemtolea uvivu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akisema kuwa madai yake kwamba nchi imejitosheleza na haihitaji misaada ya wahisani ni ujanja wa kisiasa unaolenga kuficha ukweli wa...
Tarehe 10 Februari 2025
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali...
MNARA WA TANK LA MAJI — SEHEMU YA 1/6
UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO!
Watu wengi wanaanza kwa kuuliza:
❌ “Nguzo ziwe na ukubwa gani?”
❌ “Niweke nondo mm ngapi?”
❌ “Msingi uchimbwe kiasi gani?”
Lakini swali la kwanza linapaswa kuwa:
👉 TANK LITAKUWA NA UWEZO GANI NA...
Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo.
Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.