Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi...
Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims
HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI
Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam.
Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
Msaada wakuu nilikuwa natumia tv hizi za Mobisol badae ikawa inanisumbua nikaiuza.
Naomba kujuzwa ni tv ya kampuni gani za solar ambay ni nzuri kwa uangavu wa picha na uimara wake pia na bei pleasee.
Dah! Mnisamehe tu
1. Kama COVI-19 inaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwa njia ya vitone vidogo vya majimaji vinavyotokana na kupiga chafya, kukohoa au kuongea naye. Kwanini marehemu anayedhaniwa alikufa kwa covid19 anaogopewa zaidi ya mtu aliyehai na hajapimwa?
2. Watu wawili, wanaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.