Huyu jamaa ni Nigerian, kaoa mke mMoja, wamezaa mtoto mMoja, sasa jamaa alikua mahakamani katika kufatilia kumbe kashitaki mkewe sijajua anataka vunja ndoa au laaah.
Stori Iko hivi, jamaa alikua anapambana kutafuta chakula na mahitaji ya mkewe na mtoto Kila mara, alijitahidi kuhemea mahitaji ya...