kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JF MSAADA KUHUSU UZI WA STORY ZA MAISHA YA MOSHA JAMAA ALIPATA ULEMAVU NAUTAFUTA MSAADA NIUPATE.

    Habari wadau, Naomba nipate uzi wa yule jamaa aliepata changamoto ya ajali akivunjika uti wa mgongo akiwa Chuo Mweka Moshi jina lake simfahamu msaada wakuu niupate ule uzi niweze kusoma msaada nilishia katikati sijaumaliza Admin JF nisaidie...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kupata leseni ya kampuni

    Habari ndugu zangu, naomba msaada kidogo. Nimesajili kampuni na sasa nataka kupata leseni ya biashara kwa jina la kampuni. Tatizo ni kwamba nikitumia portal ya TAUSI, naona option ya kuomba leseni ya biashara kwa jina langu binafsi, lakini sioni sehemu ya kuomba leseni kwa jina la kampuni...
  3. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi

    Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi Na MWANDISHI WETU, KONDOA MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa, amepinga taarifa iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa chombo cha habari cha Mwanahabari, ikidai kuwa Shule ya Msingi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF wananichanganya kuhusu madai yangu, naambiwa nisubiri miezi 18

    Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana nao (yaani nimefanya kazi kwa muda wa Miezi mitano) sasa kwa mujibu wa Taratibu za NSSF mpya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  6. JamiiForums Tanzania TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR). Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
  7. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU: Je Arusha itasema ukweli kuhusu demokrasia au itaimba Nyimbo za Kusifu?

    Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka 50 ijayo wajukuu wetu watatulaani kwanini tulimnyonga Lissu, kama DRC wanavyolaani kuhusu kumuua Lumumba.

    Habari Wana JF Leo nilikuwa natafakari ni jinsi gani watu wa DRC walivyomuua Waziri Mkuu wao wa Zamani Patrice Lumumba mwaka 1961. Ukiangalia zile picha za video wakati Lumumba anakamatwa utashangaa sana. Kwanza, Lumumba aliwaomba jeshi wasimpige wamkamate tu, ila akatokea mwanajeshi Mmoja...
  9. JamiiForums Tanzania Kuhusu kitunguu saumu

    Wakati mwingine kile kinachopaswa kuondoka maishani mwako kinatoshea kwenye punje moja ya kitunguu saumu 🧄 Fuata mtiririko huu Tupa punje ya kitunguu saumu kwenye choo kisha utazame ni nini kinachoanza kuondoka maishani mwako: Kitunguu saumu ni moja kati ya vitu vyenye nguvu zaidi vya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wapokea taarifa ya wataalam kuhusu mgogoro wa mipaka ya kiutawala na msitu wa Kazimzumbwi

    Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000. Sasa nashangaa, hivi gharama ya kutengeneza hicho kifaa ni kubwa kiasi hicho? Ninaamini tulitakiwa kusaidiwa kwa gharama...
  12. JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kudisplay TIN kwa wafanyabiashara kwenye mitandao

    https://www.jamiiforums.com/threads/kanuni-mpya-za-kodi-zinawataka-wafanyabiashara-mtandaoni-kuweka-taarifa-za-tin-kwenye-page-zao.2461782/ Baada ya kukutana na uzi ambao nimeutanguliza hapo , leo nimefanikiwa kukutana na idara ya elimu tra na kuhitaji ufafanuzi. Nimeona nami niweze share na...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    Wale wajuzi karibuni kudadavua https://www.instagram.com/reel/Dd7PDTCjMJP/?stkn=MXBwZzl0cGFtaGRvdw== ===== Mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera Rural...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Diploma ya clinical medicine: md miaka 5 au amo miaka 2—utachagua ipi?

    Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je, utachagua kwenda kusoma MD 5 years au AMO 2 years!? Na ukijaribu kufuatilia maslahi unaambiwa AMO...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli Mgumu Kuhusu Maisha Niliogundua - Nimeamua Kuwa Mkweli Nanyi

    Wadau, Nimekaa chini nikafikiria sana kuhusu jinsi dunia ilivyo, na nikaona niwaambie ukweli mgumu. Kama ukweli usiofurahisha unakukwaza haraka na hupendi kusikiliza, basi pita tu. Huu ujumbe si kwa ajili yako. Ukweli ni huu: Dunia ni katili. Utakataliwa. Utapoteza watu uliowapenda. Utafanya...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli isioujua kuhusu Kodi je ni unyonyaji au ni maendeleo?

    UMEKUWA UKILIPA KODI MAISHA YAKO YOTE. JE, UNAJUA NANI ALIYEVUMBUA MFUMO HUU NA KWANINI? Kabla ya kuwepo kwa fedha, benki, serikali, au katiba... tayari kulikuwa na mtu aliyesimama mlangoni kwako akipiga hesabu ya kile unachopaswa kumpa. Kodi ya kwanza kabisa duniani ilikusanywa miaka 5,000...
  18. M

    JamiiForums Tanzania AI yafika Polisi, wagoma kubaki nyuma kiteknolojia. wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji wao, Misime

    AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  20. JamiiForums Tanzania Mwananchi wa Mkwajuni amkumbusha Mbunge Ado Shaibu Ado ahadi ya Waziri Mkuu kuhusu ng’ombe

    Tunduru – Mwananchi wa Kijiji cha Mkwajuni, Tunduru Kaskazini amemweleza Mbunge wake Ado Shaibu Ado kwa undani kero ya ng’ombe kuharibu mashamba, huku akirejelea sana ahadi ya Waziri Mkuu. Katika mkutano huo uliofanyika tarehe 28 September 2026 katika Kijiji cha Mkwajuni, mwananchi huyo alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…