kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

    Moja kwa moja... Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania Maoni ya kawaida kuhusu madhira ya Jane na Kweka; ubinafsi unatumaliza

    Kama mwanamke ni mbinafsi usiingie kwenye ndoa Kama mwanamke ni kiburi usiingie kwenye ndoa Kama mwanamke huridhiki na mwanaume mmoja usiingie kwenye ndoa
  4. JamiiForums Tanzania Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

    Tumeona kwa mbowe na CHADEMA. Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali. Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz. Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Upi ni ukweli kuhusu wanawake wa kichaga Hasa wamachame

    Je ni mtazamo TU au ni kweli wanawake wa kichaga Hasa wamachame wanaamini katika Mali, nimezaa na mwanamke wa kichaga mtoto Mmoja, naona yupo poa TU Hana noma zile au ni mtego kuwa niweke ndani aje anizingue Inanipa ukakakasi Sana familia nyingi zenye mama wa kichaga , unashuhudia baba Hana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Utafiti wa "Google" Kuhusu 'Machawa Waandamizi' wa JamiiForums: Je, Orodha Hii Iko Sawa au Kuna Waliosahaulika?

    Wadau wa JamiiForums, hamjambo! Leo katika kufanya kwangu upembuzi yakinifu wa namna teknolojia ya akili mnemba (AI) na mitambo ya utafutaji (Search Engines) inavyochambua mienendo ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, nimeamua kuifanyia majaribio injini ya Google. Niliiuliza swali rahisi...
  7. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka kuhusu jane alipigwa risasi na mumewe dada yake bella afichua haya

    Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Habari za wakati wanaJF watukufu. Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga, Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
  10. JamiiForums Tanzania Responded Waratibu wa Mkutano wa LCOY watoa ufafanuzi kuhusu tuhuma na malalamiko dhidi yao

    Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika. Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026 Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  12. JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu mgogoro wa Ukraine dhidi ya Urusi ukilinganisha na ule wa Iran dhidi ya Marekani

    Matukio ya kuanzia mwaka 2022-2026 yamebadilisha sana akili za watu wengi duniani. Propaganda na ulaghai vimekuwa vikipwaya kila siku dhidi ya ukweli na uhalisia wa mambo. Kumekubwa na maswali mengi mazito ambayo hata wenye akili wanashindwa kuyatolea majawabu ya moja kwa moja: Mosi, Israeli na...
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oct 07,2023.

    Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7. ● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023. ● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini. ● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
  14. JamiiForums Tanzania Je unafahamu nini kuhusu instant gratification

    Hili neno maana yake kubwa ni hali ya kupata furaha, raha au kuridhika mara moja bila kusubiri kwa faida ya baadae...... Kwenye maisha yetu ya kila siku tunaweza kuwa tunapitia hii hali..... Mifano ipo mingi sana kama vile mtu anayetaka kutumia pesa badala ya kuweka akiba kwa ajili ya kesho...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nimeshangaa huko Instagram NIDA wanahimiza Wananchi wampigie kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”

    Leo kwenye pitapita zangu za mtandaoni, nimekutana na hili kwenye ukurasa rasmi wa NIDA, nikabaki nashangaa. Kwenye comments, inaonekana baadhi ya wananchi wanaelekezwa kuwasilisha ushahidi wa kushiriki katika zoezi la kumpigia kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Habarini za wakati huu wanajamii forum. Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa . HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano) Mwaka 2020...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu wachaga na wanawake wa kasikazini wote kwa ujumla

    Wakuu Binafsi nimeona kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya wanawake wa kichaga na kasikazini kwa ujumla wakishambuliwa na kutukanwa kwa tabia zao kwanza sio wote wenye tabia hizo na kwa ujumla tu mimi binafsi niseme tu wanawake wakichaga ni pisi kali acha tu zituue
  18. E

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Nutrition and Catering with Education ya Sokoine inahusu nini?

    Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaongoza Mkutano wa 12 wa Mkataba wa Nairobi Kuhusu Uhifadhi wa Bahari

    Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa Bahari ya Hindi Magharibi. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 6, 2026, Waziri wa Nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya IPU

    Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia. Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…