kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri ushauri Kuhusu RAV4 1st Gen aka Mkulima

    Hii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi. Nimeambatanisha na picha
  2. JamiiForums Tanzania Serikali isipoteze rasilimali muda na fedha. Iwakamate wafuatao wataeleza kinagaubaga kuhusu ghasia za 29/10/25

    1. Viongozi wa TEC. Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine. 2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL...
  3. JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi

    Biblia Isemavyo Kuhusu Umri wa Kuishi Katika biblia mtu aliyeishi miaka mingi kuliko wote, ni Methusela, mwana wa Henoko aliyetwaliwa na Mungu. Biblia inasema Methusela aliishi miaka 969, na hakuna mwingine aliyerekodiwa kuishi miaka mingi kuliko yeye. Mwanzo 5:25 “Methusela akaishi miaka mia...
  5. JamiiForums Tanzania Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu fidia ya vita

    Nani anayeamua kwamba upande fulani ndo umlipe upande mwingine wakati wote wameumizana ma kutiana hasara.. Kwa mfano sasa hivi kwenye vita ya Ukraine na Urusi je wanajua kabisa kwamba mwishoni kuna mmoja inatakiwa amlipe mwenzake fidia. Na je nchi moja ikigoma kumlipa fidia mwenzake hatua gani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu kuhusu wanaosemekana kupotea tangu 29/10/2025

    Kumekuwa na taarifa za watu kupotea tangu 29/10/2025 na 31/10/2025. Kila mtu anasema lake, serikali iko kimya, na baadhi ya watu wanadai kupotelewa na ndugu zao. Je, nini kifanyike. 1: Serikali inaweza kuanzisha platform maalum kukusanyia taarifa hizi ? 2: Ndugu watakaojitokeza na...
  9. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu niliopewa na Mungu kuhusu balozi polepole

    Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...
  10. JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hujawahi kusikia kuhusu wenza wao wa maisha

    Orodha ya watu maarufu ambao ni kama hawana wenza. Yaani ni kama wanaaishi wenyewe tu hakuna mume/mke. Naanza na Madam Rita. Endelea…
  11. JamiiForums Tanzania Uchokozi: Burundi wataka kuichukua Kigoma kutoka Tanzania

    Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya. Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
  12. JamiiForums Tanzania Gen Z kuhusu viongozi wanapofariki: Hatuhuzunishwi, kazi ya Mungu yatupasa tufurahie

    Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi karibuni, vifo vya viongozi wa umma vimekuwa vikikabiliwa na kejeli, mzaha na kubezwa badala ya huzuni...
  13. JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu chanzo cha vita ya Kagera?

    Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi ya obote kurejea madarakni ambayo yalishindwa hivo amin akaamua kulipua kagera ikiwemo kiwanda cha...
  15. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi zimezidi kuhusu Namba 1 na 2 kutokupatana, ukweli upoje?

    Huko twitani kelele ni nyingi, wanasema namba 1 na 2 picha haziendi. ukweli upoje, maana wahenga walisema lisemwalo laweza kuwepo
  17. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
  20. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna anayezungumzia Kuhusu Chadema.

    Siku hizi hakuna anayeiongelea CHADEMA?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…