BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia.
Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima
Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara.
Tutajifunza kwa kina:
1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu.
Jinsi ya kuandaa...
Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako uone kama hizo connection na mengine hayotokufuata yenyewe.
Asanteni...
PASSPORT NINI
Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi.
Vigezo &...
Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa;
Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa.
Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu.
Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana.
Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa.
Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia wanamkataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Jamaa acha apitie magumu tu maana ni kada wa chama kileeeeeee hivyo msaada au huruma ya...
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa
Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo.
Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua.
Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
Kama last year hivi mwanzoni niliingia ulimwengu wa mobile app baada ya kuwa kwenye web kwa kipindi kirefu. Sikuwahi kufanya Vibe coding hapo nyuma(programming kwa kutumia AI) kutokana na hizi program kutoa bugs nyingi kipindi cha nyuma, so muda mwingi unautumia kufix code baadala ya kutengeneza...
Hapo zamani za kale kwenye kijiji cha msituni kulikuwa na mzee mmoja aliyejulikana kama Mzee Filipo..
Alikuwa mrefu, mnene mweusi..
Alitisha sana!
Kutokana na mwonekano wake alitawala kijiji kizima na hata uchaguzi ulipokuwa ukifanyika ilikuwa kama danganya toto Tu! Kwani siku chache kabla ya...
Maandiko Yasemavyo Kuhusu Manabii na Mitume wa Kweli na Uongo
Huduma ya mitume na manabii wa uongo na hasa ya kinabii, ilitabiriwa tangu enzi za Agano la Kale, kwamba itakuwepo duniani, na sasa ipo.
Kitabu cha Yeremia 14:14: "NDIPO BWANA AKANIAMBIA, HAO MANABII WANATABIRI UONGO KWA JINA LANGU...
Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda...
Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
Hii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi.
Nimeambatanisha na picha
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.