kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake, Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

    Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
  3. infinix2020

    JamiiForums Tanzania Utata juu ya Rais Samia kuingilia kati tozo mpya za miamala

    Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza 1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya? 2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi? 3. Je, ni political tension? 4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi? Kama kuna...
  4. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu apongezwa Iramba licha ya kulalamikiwa kuhusu kodi za miamala!

    Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule. Pamoja na kukwepa kugusia mambo ya kodi ya miamala lakini agenda kubwa ilikuwa ni kujiimarisha jimboni...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyafahamu kuhusu mahusiano na ndoa

    1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile uliyotakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakukuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakayekumbusha kutaka ngono pekee. 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu Cha UJASUSI yanayoendelea kuhusu COVID 19

    Hello guys, Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19 Pata dondoo kidogo hapo SEHEMU YA KWANZA Taharuki kubwa ilitanda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya tumeshakwama tujikite kujenga ofisi ya Makao Makuu

    Kwa hali inavyoenda katiba mpya hatuwezi kuipata kirahisi labda tukomae kama wakenya walivyokomaa. Tujikite kujenga ofisi ya makao makuu. Tunazo rasilimali nyingi na michango ya kidigital imemiminika. Aibu sana kuwa kwenye ofisi kama hii tuliyonayo.
  9. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  10. Medecin

    JamiiForums Tanzania Je, Biblia inasema nini kuhusu kupandishwa tozo za miamala?

    Soma Isaya 10:1-4
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Rais kuhusu tozo kwenye miamala za simu

    Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa. Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
  12. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Mgomo Baridi kuhusu kutumia miamala ya simu. Huko mtaani kwenu hali ikoje?

    Wakuu Kwema! Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu. Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu. Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana. Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
  13. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania UVCCM ni wakati wa kusema lolote kuhusu tozo mpya za miamala ya kwenye simu

    Kundi hili limekuwa likitoa matamko mbalimbali yahusuyo siasa na mengine yanayotokea Bongoland. Sasa hivi issue inayotrend ni makato ya gharama za kutuma na kutoa fedha kwenye mitandao mbalimbali ya simu. Wajitokeze ili wapongeze au kuponda makato haya kama ambavyo wanafanya kwa mambo mengine!
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu Kuhusu Dhana ya kiafrika ya muda na maendeleo

    Muda ni moja ya dhana muhimu ya kujadiliwa katika mtazamo wa Kiafrika juu ya maendeleo. Dhana ya Kiafrika ya muda inafunua njia kamili za maisha kati ya Waafrika katika kutazama hali halisi. Hii inadhihirisha nguvu nyuma ya mwenendo wa waafrika. Inaonyesha mawazo na imani kati ya Waafrika...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ongezeko la kutuma na kupokea pesa kwenye mihamala ebu tuache kulialia jamani

    Kwenye hili la ongezeko la hela ya tozo kwenye mihamala ebu watanzania tuache kulia kulia ayo ndio maendeleo na kwani kabla azijakuwepo hii huduma tulikuwa tunatumia huduma gani ebu tuache serikali ifanye kazi ituletee maendeleo sio kila jambo kulalama tu .serikali mpk kuweka hili imeshakaa...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

    Kwa Haya mambo ndugu Watanzania tunasemaje? MAMA BADO ANAUPIGA MWINGI? NAULI MPYA ZILIZOPANGWA NA SUMATRA ZA MABASI YA KWENDA MIKOANI KUTOKEA DAR: BEI ZOTE NI KWA SHILINGI YA TANZANIA.; DAR - ARUSHA; å Basi la kawaida 22,700/-. å Semi luxury bus 32,800/-. å Luxury bus 36,000/- DAR -...
  17. Penny

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

    Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika utawala uliopita alikuwa na msimamo tofauti na wa sasa kuhusu hatari ya virusi hivyo na sasa...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kuagiza TV kutoka Nje ya Nchi

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada husika, nataka niagize TV kutoka China, nataka zile kubwa kuanzia 65" kuendelea smart ambazo kwa hapa Bongo naona Kama ziko expensive hivi. Vipi logistics zake? Bei yake? Usalama wake? Na anything relating to this? Thanks in advance.
Back
Top Bottom