kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk ailaumu Twitter kukiuka makubaliano ya kuinunua kwa kutoa maelezo kuhusu idadi ya spam na fake accounts kama alivyoomba

    Elon Musk ametuma barua ya malalamiko kwa Mkuu wa maswala ya kisheria wa Twitter akisema anaamini Twitter inakiuka merger agreement kwa kutotoa ushirikiano kuhusu idadi ya fake na spam akaunti kama alivyoomba. Wakati wa makubaliano, Twitter alidai spam na fake akaunti zipo chini ya asilimia...
  2. JamiiForums Tanzania Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana. Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Biashara ya Carbon Credit

    Je una fahamu kuhusu biashara ya Carbon Credit? Leo nataka nizungumze kidogo kuhusu biashara ya carbon Credit. Biashara ya Carbon Credit inahusu uuzaji na ununuaji wa emmision rights.Yaani uuzaji na ununuaji wa haki za kuchafua mazingira kwa kutoa hewa ya UKAA.(CO2).Kwa kawaida tunatoa hewa hii...
  4. JamiiForums Tanzania Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

    1. Atoa onyo kwamba watayateketeza. 2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito. 3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Sare za Shule hasa za Msingi

    wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Tohota Volts

    Ninakuja jukwaani kwenu wazoefu nikiomba mnisaidie kujua changamoto za gari tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Unatambua nini kuhusu hizi picha mbili za Rais Putin?

    Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
  8. T

    JamiiForums Tanzania Habari za uongo kuhusu mafanikio ya Royal Tour

    Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania. Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kuhusu Mafao ya Viongozi Wakubwa?

    Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani. Swali langu: Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili. Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu practical interview ya Information System Auditor

    Habari Naomba kujuzwa, mtu ambae anatakiwa afanye practical interview kwa nafasi ya Information System Auditor anatakiwa ajiandae hasa maeneo gani ? Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
  11. JamiiForums Tanzania Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

    Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Afisa Hesabu Daraja la II (Account Officer II)

    Naomba ufafanuzi kuhusu sifa Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isituwekee link au mfumo wa kimtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu Katiba Mpya

    Kwa sasa technologia imesonga mbele sana.kwa nini tusiwe na link au mfumo wa mtandao ili wananchi watoe maoni yao kuhusu katiba mpya?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Mwalimu Nyerere, mchanga au udongo wa Tanganyika aliushika kwa mkono gani wakati wa kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo. Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu Bima

    Sisi wamiliki wa vyombo vya moto, tumekuwa wazito sana kulipia vyombo vyetu Bima(third party). Hasa Mikoani. Ushauri: Kama ilivyo kwa iliyokuwa Road License, third party iingizwe kwenye mafuta, hii itasaidia sana. 1) Serikali itaachana na mambo ya Agency 2) Haitawaumiza walipaji (they won't...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu UGONJWA wa Monkeypoxy unao tikisa vichwa vya habari DUNIANI

    WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD. Tap the link below for more information from WHO Monkeypox .
  17. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kuhusu medical attendants course

    Wakuu habari za leo, naomba kuuliza je kwa sasa kozi ya medical attenants imeruhusiwa kutolewa na serikali? Maana nimeona kuna baadhi ya vyuo vya afya vinatangaza kupokea wanafunzi wa hiyo kozi. Hivyo naomba kujuzwa pia na vigezo vya wanafunzi anatakiwa awe na ufaulu gani. 🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kampuni za Mfukoni-Briefcase Corporations

    Habari za wakati huu; Je unajua kuwa biashara zote kubwa zilianza kama wazo? Je, unajua kwama biashara nyingi kubwa zilianza kama briefcase companies? Je, unajua kuwa biashara nyingi kubwa zilianza chini?Leo nataka nizungumze kuhusu Briefcase Companies na umuhimu wa kuwa na Kabiashara kako ka...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu wa Rihanna kutokuja Tanzania

    Naona comments everywhere watu wanalalamika kwanini Rihanna hajaiona Tanzania kuleta vipodozi vyake vya Fenty, wengine wanasema kwanini ameiacha Tanzania wakati Babaake alikutana Rais Samia kwenye Royal Tour. Mnataka awaletee Tanzania kuna soko? Jiulize we unayelalamika ushawahi kuagiza hata...
  20. JamiiForums Tanzania Profesa Makubi: Tuachane na mila na desturi potofu kuhusu hedhi

    Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Prof. Abel Makubi Ametoa Wito Kwa Wananchi Kuachana Na Mila Na Desturi Potofu Kuhusu Hedhi Na Kusisitiza Juu Ya Upatikanaji Wa Huduma Na Vifaa Vya Kujihifadhi Hasa Taulo Za Kike Sehemu Zote Kwa Makundi Yote Kwa Bei Nafuu Katika Jamii. Prof. Makubi Amesema Hayo Leo Mei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…