Hello Wadau!!
Naenda Moja kwa Moja kwenye topic.
Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE
"Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie
Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba
Kuna nchi masikini hazina madeni na...
Imeeleza hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha wawili ambao walikuwa wakiangaliwa kwa mara ya mwisho ili mmoja kupitishwa akiwemo kocha wa zamani wa RS Berkane ya Morocco raia wa nchi hiyo, Tarik Sektioui. Mwingine ni Jozef Vukušič raia wa Slovakia.
Taarifa ambazo imeripoti Gazeti la Spoti...
Kuna hili andiko nimelikuta kwa mdau wa sheria anaitwa Na Bashir Yakub ambaye ni WAKILI
=============
Maombi ama Kesi inaweza kutupwa na Mahakama kwa namna moja kati ya mbili.
Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, ama inaweza kutupwa katika namna ambayo...
Salamu wakuu..
Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae.
Wiki iliyopita alienda kwao KZN (Durban) ila mimi naishi Jozi.
Sasa bana kipindi napiga mambo yangu na mizuka imepanda ya akili za...
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana.
Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa.
Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia.
Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea...
Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi zinahitajika na document zipi zinatakiwa kwa kupata usajili . asanteni
Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha.
Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya...
Habari
Leo nataka kuongea kuhusu ustawi wa jamii hii ni taaluma ambayo imejikita katika kutatua changamoto na matatizo ya jamii Inafanya kazi na wazee watoto walemavu na wanawake lakini na jamii kwa ujumla
Watu wasichotambua kuhusu ustawi wa jamii
Watu wengi wanahisi ustawi wa jamii ni...
Ndugu wana jamvi,
Naombeni kujua vyuo vinavyotoa kozi za ict ngazi ya certificate au diploma kwa hapa tanzania ,kwa njia ya mtandao.
Nb.nina bachelor katika fani nyingine,o level nina C ya hesabu na D ya physics je naweza kuanza na diploma au certificate msaada tafadhali kwa mnajua hili
Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend .
Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
Tumeona watu wanaoana au wanatafuta majini kuwa wake/waume/wachumba zao. Hoja yangu kubwa ipo kwenye tendo la ndoa.
Je, majini nayo huwa yanahisi utamu au raha kufanya mapenzi na binadamu? au yanamridhisha tu binadamu? Sina mpango nayo ila nayatafuta maarifa.
Ahsante
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula
Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH
Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri.
“Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana.
Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema.
98% ya...
Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika.
Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu.
Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya...
Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.