1. Atoa onyo kwamba watayateketeza.
2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito.
3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
wadau naomba kueleweshwa kidogo, hivi sare za kaptula zinamaanisha nini kwa wanafunzi wa shule za msingi, na mashati meupe. Kuna mikoa yenye baridi hivi Kuvaa kaptula haiongezi kiwango cha mwili kupata baridi, Kuna maeneo yenye udongo mwekundu sana shati jeupe haliwezi kubaki na rangi yake, na...
Hapo Rais Putin na Macron wa ufaransa wakiwa Russia Vita ilikuwa imeanza ukraine
Hapa Putin na mwenyekiti wa AU -Africa united wakiwa Russia ilikuwa jana
Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania.
Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua...
Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani.
Swali langu:
Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili.
Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
Habari
Naomba kujuzwa, mtu ambae anatakiwa afanye practical interview kwa nafasi ya Information System Auditor anatakiwa ajiandae hasa maeneo gani ?
Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka.
Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni...
Naomba ufafanuzi kuhusu sifa
Kuajiriwa wenye “Intermidiet Certificate” (Module D) inayotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA, Shahada ya Biashara au Sanaa aliyejiimarisha kwenye fani ya Uhasibu, Stashahada ya Juu ya Uhasibu kutoka taasisi yoyote...
Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo.
Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
Sisi wamiliki wa vyombo vya moto, tumekuwa wazito sana kulipia vyombo vyetu Bima(third party).
Hasa Mikoani.
Ushauri:
Kama ilivyo kwa iliyokuwa Road License, third party iingizwe kwenye mafuta, hii itasaidia sana.
1) Serikali itaachana na mambo ya Agency
2) Haitawaumiza walipaji (they won't...
WHAT IS MONKEY POXY DISEASE?# A pandemic disease!!!!& THE ONES WHICH MAKE HEAD LINES IN CNN AND OTHER TELEVISION CHANNELS IN THE WORLD.
Tap the link below for more information from WHO Monkeypox
.
Wakuu habari za leo, naomba kuuliza je kwa sasa kozi ya medical attenants imeruhusiwa kutolewa na serikali? Maana nimeona kuna baadhi ya vyuo vya afya vinatangaza kupokea wanafunzi wa hiyo kozi. Hivyo naomba kujuzwa pia na vigezo vya wanafunzi anatakiwa awe na ufaulu gani. 🙏🙏🙏
Habari za wakati huu;
Je unajua kuwa biashara zote kubwa zilianza kama wazo? Je, unajua kwama biashara nyingi kubwa zilianza kama briefcase companies? Je, unajua kuwa biashara nyingi kubwa zilianza chini?Leo nataka nizungumze kuhusu Briefcase Companies na umuhimu wa kuwa na Kabiashara kako ka...
Naona comments everywhere watu wanalalamika kwanini Rihanna hajaiona Tanzania kuleta vipodozi vyake vya Fenty, wengine wanasema kwanini ameiacha Tanzania wakati Babaake alikutana Rais Samia kwenye Royal Tour.
Mnataka awaletee Tanzania kuna soko? Jiulize we unayelalamika ushawahi kuagiza hata...
Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Prof. Abel Makubi Ametoa Wito Kwa Wananchi Kuachana Na Mila Na Desturi Potofu Kuhusu Hedhi Na Kusisitiza Juu Ya Upatikanaji Wa Huduma Na Vifaa Vya Kujihifadhi Hasa Taulo Za Kike Sehemu Zote Kwa Makundi Yote Kwa Bei Nafuu Katika Jamii.
Prof. Makubi Amesema Hayo Leo Mei...
Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini.
-
Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.