kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tujadiri kuhusu wakazi wa Mwanza wanaoishi milimani kuhamishwa

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana. Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema. 98% ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhusu Deni la Taifa

    Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika. Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu. Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  4. JamiiForums Tanzania Kodi nyingi zitatuzindua usingizini Watanzania na kudai haki zetu, Nchemba umechemka kuhusu 18 years kulipa kodi ya kichwa

    Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua. Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji wa serikali wanavyofanya mambo kiholela na kimazoea. Ni sababu ya kutolipa kodi au kodi kidogo ndiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu "Connect 16" na huduma yao ya satellite internet

    Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika: 1. Installation charges ni TZS 300,000/- 2. Monthly subscription ni TZS 75,000/- kwa package ya speed ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mtizamo wa Mchoro wa Katuni kuhusu kinachojiri Loliondo

    Utaona wanyama baada ya kuwekewa Mipaka wanaona mwanga na matumaini makubwa.
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna namna, Wamasai lazima wakubali kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao

    Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote. Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

    Haya hapa majibu ya Happiness ambaye ni mke wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' "Binti yangu, hii ilikuwa nipost siku ya birthday yako 26/09! Lakini naona mbali 😃 Hapo nilitoka kukuvalisha hivyo vihereni vya gold nilizokupa zawadi kwa kutimiza miaka 3 mwaka 2015. 😃Nikikuona hapo nawaona wadogo zako...
  9. JamiiForums Tanzania Machache Kuhusu SMS Marketing

    SMS MARKETING STRATEGY (Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi) SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma kwaajili ya kuwapa habari mbalimbali kuhusiana na huduma mbalimbali za kwenye biashara yako. AINA...
  10. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Madaktari kuhusu Majeruhi wa Loliondo

  11. JamiiForums Tanzania Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  12. JamiiForums Tanzania Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Mh. Waziri Makamba 1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo mwaka 1974 na Mnazi Bay mwaka 1982. Aidha, Katika miaka ya 2010 na 2012 utafiti...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu vurugu zilizotokeza Loliondo

    Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo, Imeelezwa kuwa kama kuna watu waliojeruhiwa katika virugu hizo wajitokeze ili wapatiwe matibabu Imebainika...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguuka vipi kuhusu madishi ya satellite?

    Wadau Leo naomba mnisaidie tunajifunza kuwa Dunia inazunguuka kwenye mhimili wake lakini pia inazunguuka jua... Kama ni hivyo mbona ukifunga dish huku Duniani na satellite huko angani.. Kama Dunia inazunguuka mbona signal hazipotei? Ili Hali tunajua kabisa dish likiyumba kidogo tu channels hamna?
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?

    Haya ni mabasi mazuri sana, je umewahi kusikia nini kuhusu basi hizi?
  16. JamiiForums Tanzania Ongezea, kumbukizi kuhusu katiba mpya

    Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua kweli, hata kitakwimu hii inakubalika ... yale ya normal distribution kuhusu data za collective...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wakiona Wanaijeria wanapiga hatua wanalalamika kuibiwa fursa ila hawalalamiki kuhusu Wahindi, Waarabu, Wachina, n.k?

    Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana. Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Naibu Katibu wa chama cha soka Burundi, nimeumia sana kuhusu Tanzania yangu

    Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana kufikia matamanio yetu kimichezo. Alipoulizwa na mtangazaji wa chombo kimoja cha habari hapa nchini...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi. Naomba...
  20. JamiiForums Tanzania Nakataa kuhusu uume mdogo a.k.a kibamia

    Hii mitandao inaharibu Sana watu. Hasa sisi wanaume. Leo wakati fulani napitia blogs na YouTubers jamaa mmoja anaelezea kwanini uume mdogo na namna ya kufanya uwe kama muhogo. Nikichoelewa ni kwamba wanatuharibu Sana kisaikolojia. Sio kweli kwamba inch 4 ni kibamia. Nakataa Kwa sababu na Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…