kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics) Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi. Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile. Hivyo basi...
  2. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Biashara ya Product Sourcing and Supply

    Utangulizi Biashara ya Product Sourcing and Supply ni mchakato unaohusisha kupata na kusambaza bidhaa kutoka vyanzo mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wateja. Katika ulimwengu wa leo ambapo masoko yamekuwa ya kimataifa, biashara hii imekuwa muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa...
  3. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  4. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mkwara wa kukwamisha maandamano ya Watanganyika kuhusu Mkataba wa Bandari ni wa kitoto sana

    Hey habarini nyote, Nimesikitika na kutema mate na kusonya sana utoto wa hatua ya police kuhusu maandamano ya amani na yenye nia njema kufikisha ujumbe wa kupinga mkataba mbovu na wa kitumwa na usiofaa popote Duniani kote. Ni zumbukuku na mazumbukoko tu ndio wanaweza kua na akili za kengeza...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa ninacho kifahamu kuhusu JamiiForums Fantasy League

    Habari, mnamo tar 6/8/2023 nlianzisha uzi huu Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL ambao ulikuwa unahusu haja ya kuanzishwa FPL ya Jamii Forums. Kufuatia uzi huo members mbalimbali walipata muamko wa kuhitaji kupatikana ligi hiyo, wengine walikwenda mbali na kufungua leagues. Jitihada...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Usahihi Kuhusu Nembo Anayotumia Rais Samia Suluhu

    Je ngao/nembo ya Taifa imebadilishwa? Ni moja kati ya maswali ambayo yanaulizwa sana na wadau wengi wakitaka kufahamu kuhusu nembo inayoonekana kwenye mimbari (podium) ya Rais wa Jamhuri ya Muungano katika siku za karibuni Kimsingi ile si ngao ya taifa bali ni alama ya bendera ya Rais au kwa...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ya Mpwayungu Village kuhusu Mwalimu, yaungwa Mkono na KONTAWA kupitia kibao chake Cha "Mwalimu"

    Kwenye Huu Wimbo, msijikite kwa mistari pekee inayohusu Mwalimu Na Mwanafunzi,, Sikilizeni KERO na Maisha halisi ya Mwalimu wa Tanzania. Angalieni Mazingira ya Maisha ya Mwalimu kuanzia Mavazi ,Makazi, Chakula !!. Hakika ni Tanzania pekee ambapo Mwalimu anaishi Maisha ya Taabu !!.
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya kesi ya Kikatiba kuhusu IGA: Ni upotoshaji kuaminisha kuwa IGA inaathari kwenye Sovereignty na miliki ya rasilimali

    Regarding the contention that Article 4 (2) of the IGA is violative of theAct No. 5 of 2017 and the constitutional provisions on sovereignty, our unflustered view is that the petitioners' construction of the said provision is ill-thought-out, if not misleading. Our unfleeting reading of Article...
  9. Omaryjr1

    JamiiForums Tanzania Kuhusu cheti Rita

    Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matatizo ya Dotto Biteko tunahitaji Metropolitan Police

    Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo. Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko anashutumiwa katika kifo cha msaidizi wake? Lazima Scotland Yard waletwe. Wakati ule aliketwa Collin...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Nimesoma andiko lako kuwa watu HAWANA UELEWA ndiyo maana wanakataa mkataba wa DP World. Nomba kwa manufaa ya wengi ujibu hoja hizi mbili tu. Kumbuka wewe ni "national Figure" in academics, tamko lako linaamsha maswali) 1. Kama mkataba una manufaa, kwanini bandari za Zanzibar hazipo? (kizuri...
  13. smarte_r

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

    Wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op. Nashauri wakuu ndani ya JWTZ wafanye selection, wachague vijana sita au saba 7 ambao ni the best of the bes ndani ya jeshi, wakibidhiwe...
  14. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu EPL, nani kutwaa kombe 2023/2024?

    Nani ataweza kutwaa hili kombe la premier League season ya 2023/2024??? 1. Manchester City 2. Arsenal 3. Manchester United 4. Liverpool 5. Chelsea 6. Newcastle 7. Brighton 8. Tottenham
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

    "Moja ya Makubaliano ya Kisheria tukiingia na hivi Vilabu vya Simba na Yanga katika Matamasha yao ni kutotaja Mapato yao na hiyo Taarifa inayosambaa kuwa Sisi N-Card tumesema Yanga SC imeizidi Simba katika Mapato ya Matamasha yao ni ya Uwongo na ipuuzwe imeandikwa na Waandishi Wahuni" amesema...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

    Haya mambo ya kuzunguka zunguka hayafai kwa sababu muda unaenda kasi sana. Siwezi kujifanya sijashtuka Phiri kukalia bench dakika 90. Ni uongo. Kila mtu kaona kikosi cha kwanza huku majembe mengine yakiwa pale bench. Baadae wakapewa nafasi wachezaji wa kawaida na wakali kama kina Ngoma. Halafu...
  17. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Simba day hasa dakika 90 za mchezo

    Timu zote mbili zimecheza vizuri sana. 1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa 2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru 3)Mganga wa Baleke anafanya kazi nzuri kumweka benchi Moses Phiri. 3)Chama kwa uwepo wa Onana na kuongezeka kwa Ngoma mmmh...
  18. Wiltibenda

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?

    Ni kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?
  19. Wiltibenda

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya elimu ngazi ya Diploma inawezekana?

    Je ni kweli inawezekana kupata mkopo kwa anayeenda kusoma stashahada?
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Wakosoaji hawamtendei haki Paul Kagame

    Jenerali Ulimwengu alitoa kauli hiyo wakati akihojiwa na chombo Cha habari kinachofahamika kwa jina "chanzo". Jenerali Ulimwengu aliunga mkono ukandamizaji demokrasia unaofanyika Rwanda kwa kisingizio Cha mauaji ya kimbati, ambayo hata hivyo yametokea miaka karibu thelasini Sasa. Kagame amejaza...
Back
Top Bottom