kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Simba Sports Club

    Natumaini u buheri wa afya. Kumekuwa na mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uchezaji wa Simba. Ukweli ni kwamba baada ya Simba kujitathimini kwa muda mrefu imeamua kubadili falsafa yake ya kupiga pasi nyingi za nyuma na madoido yasiyokuwa na tija. Tathimini ilionesha ili timu...
  2. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kanali Muammari Gadafi katika kitabu cha kijani- kuhusu Bunge na chama

    BUNGE BUNGE ni uti wa mgongo wa demokrasia ya uongo iliyopo kwenye ulimwengu wa sasa. Bunge sio uwakilishi wa watu na mfumo wa mabunge sio suluhu katika matatizo ya demokrasia. Bunge kwa asili liliundwa kuwakilisha watu lakini kitendo hiki chenyewe si cha kidemokrasia kwakuwa demokrasia maana...
  3. Zacht

    JamiiForums Tanzania Ufaransa imekasirishwa na mwenendo wa Marekani kuhusu Niger

    Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya. Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
  4. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA: Hatuhusiki kwa namna yoyote ufungaji wa 'The Cask Bar' jijini Mwanza

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuujulisha Umma kuwa, haijahusika kwa namna yoyote na ufungaji wa Bar ya THE CASK iliyopo Jijini Mwanza. Tunaomba wahusika na Umma wawasiliane na Mamlaka husika juu ya jambo hilo. - Pia soma Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

    Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin ahaha kuhusu anguko la ruble, aanza michakato ya kuomba vikao

    Hela ya Urusi, yaani Ruble imedondokea pua, imeshuka kwa mwendo kasi na hii inakwenda kuilemaza Urusi kiuchumi, hii imemfanya Putin apapatike na kuomba vikao. ========== Putin to discuss capital controls to help prop up rouble, report says Proposals said to include forcing large exporters to...
  8. Plastic

    JamiiForums Tanzania Kwanini tatoo ni ngumu sana kufutika?

    Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake. Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika?? Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu kabisa kwenye ngozi(epidermis) ndilo tunaloliana kila siku kwa macho na huwa na kawaidi ya kutoa seli...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Serikali ya Mkoa Songwe ielezeni jamii kilichotokea kuhusu tuhuma za Kaimu Meneja wa TANROADS

    Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa. Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Lipi ni chaguo (Option) sahihi kuhusu ujenzi wa nyumba ya Ghorofa moja

    Wanabodi. Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama. Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi...
  12. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu device hii kwenye Toyota Raum

    Naomba anayejua hiki kifaa ni Nini na kinafanya Kazi Gani? Kiko kwenye Raum katikati ya siti ya dereva na abiria. Ukiwasha gari kinawaka.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia Hassan hadi sasa hajatoa tamko rasmi kuhusu mkataba wa DP World

    Ningependa kujua sababu za msingi za Rais Samia Suluhu Hassan kutowajibika kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba tatanishi wa DPW ambao kwa kiasi kikubwa unapingwa na Wananchi waliyo wengi? Nini sababu ya ukimya wa Rais Samia Suluhu Hassan?
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wasukuma na neno "ukarimu"

    Watu wengi wamekuwa wakiwasifu ndugu zangu kabila la kisukuma kwa kuwa wakarimu, lakini pia kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiwananga Wsukuma kwa kuwasema kuwa hawana ukarimu bali ni watu wenye roho mbaya, hii ni asilimia ndogo ukilinganisha na ile inayowasifia wasukuma. Ukweli ni huu hapa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KUHUSU MASHINE YA CT SCAN MLOGANZILA

    Nawapongeza JF kwa kupaza sauti kuhusiana na ubovu wa mashine ya CT SCAN kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila. Naona sasa Huduma za CT Scan zimerejea kama kawaida na zinapatikana saa 24 Jumatatu hadi Jumapili.. Tunaomba muendelee kupaza sauti kuhusu Uchakavu wa Gari la kubebea wagonjwa
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Huu ni Mkataba mkubwa mbovu kuwahi kusainiwa na Rais tangu tupate Uhuru

    Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa mkataba mbovu kuwahi kusainiwa na rais aliye madarakani na utamwachia legacy mbaya Rais Samia. Tukiondoa...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Bosi anasemaje kuhusu mkasa huu wa kukamatwa Askari wake?

    Nauliza kama boss ana taarifa, au habari inayohusu kamata kamata ya askari wake? Kama anayo taarifa, je amechukua hatua gani kuwasaidia, au ukishamlipa mtu akufanyie kazi basi litakalompata huko mbeleni ni juu yake? Au askari wake wamevuka mipaka ya kile alichowaagiza, kwa kuanza kumshambulia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za mtandaoni na mtaani ni tofauti!

    Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji mkubwa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, naleta uthibitisho

    Kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zinasambaa kuhusu udakaji wa penati wa jana wa Ally Salim, nimefanya uchunguzi binafsi kuangalia ukweli kuhusu tuhuma hizi na nimejiaminisha kuwa penati alizodaka na hata ile ambayo Aziz Ki alifunga, at least mguu mmoja wa Ally Salim bado ulikuwa umekanyaga...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

    Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu. Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila...
Back
Top Bottom