kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Tunapigana Kisiasa, Lakini Tumepoteza Ubinadamu?

    Picha za afisa wa polisi aliyeshambuliwa na kundi la vijana huko Homa Bay zimeibua swali ambalo tunapaswa kujiuliza kama taifa: Je, tofauti zetu za kisiasa zimetufanya tusahau thamani ya maisha ya binadamu? Unaweza kuunga mkono ODM, Kenya Kwanza, Linda Mwananchi, upinzani au serikali - lakini...
  2. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  3. K

    Mkutano wa TEC na Rais Samia Ikulu Chamwino: Je, ni Toba ya Kweli na Kukiri Makosa ya Serikali, au ni 'Geresha' la Kisiasa Kupoza Nyoyo?

    Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
  4. U

    Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  5. OMKEIT 93

    Biashara ya mazao ya kilimo, kwanini mara nyingi maslahi yake huonekana kutegemea upepo wa kisiasa?

    Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
  6. DogoWaNjombe

    Semu: Maridhiano ya kweli, Serikali iwaachie huru wafungwa wa Kisiasa, iruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa wa Oktoba 29

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
  7. kalisheshe

    Uhusika wa vyombo vya dola kwenye siasa

    Naomba wajuvi wa sheria mtufafanulie Inawezekana labda hatujui sheria au labda tunalalamika na kunung'unika bila sababu
  8. M

    Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

    Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo...
  9. O

    ‘Our Son Is Suffering’: Gachagua Asema Ruto Anamlenga Kindiki Kisiasa

    Kiongozi wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amedai kuwa Rais William Ruto anaendesha mkakati wa kumtenga kisiasa Naibu Rais Kithure Kindiki ndani ya serikali ya Kenya Kwanza. Akizungumza wakati wa mazungumzo na vyombo vya habari, Gachagua alisema Kindiki...
  10. Wakusoma 12

    Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  11. M

    Siasa za misiba jimbo la Maswa Mashariki hazipaswi kuwa mtaji wa kisiasa

    Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa wananchi kujiuliza kama huo ndio uongozi wanaouhitaji. Swali la msingi ni hili: Kwa nini nguvu na...
  12. Parabolic

    Kuibuka kwa Kesi za Ugaidi Tanzania; Ni Mkakati wa Usalama au Mwelekeo Mpya wa Kisiasa?

    Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
  13. Msanii

    Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  14. Msanii

    Unafiki wa kisiasa unavyotukwamisha Watanzania kuwa Taifa bora, imara na serikali inayowajibika

    Habari za wakati huu wanabodi. Hiuu ni mtazamo wangu ambao ninaamini ni muhimu sana kwa muktadha wa sasa wa kijamii na kisiasa. Uzi huu umeandikwa kwa lugha ya staha, uchambuzi wa kina, na mtazamo wa kujenga ili kugusa kiini cha tatizo. MAJUKWAA YA GIZA: Namna Unafiki wa Kisiasa Unavyokwamisha...
  15. Waufukweni

    Askofu Dkt. Bagonza: Vijana wengi wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa." Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
  16. L

    Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  17. Manyanza

    Kwanini mission za kuiua na kuifuta CHADEMA kisiasa zinafeli na kwanini Serikali inaambulia chuki kutoka kwa Wananchi badala ya mafanikio?

    Kumekuwa na kufeli kwa mission nyingi za kukiondoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika uso wa siasa zetu, majaribio yote yameishia kuwa kituko cha awamu husika, propaganda za kitoto dhidi ukomavu mkubwa wa kisiasa ambao jamii yetu inao kwa sasa zimeisha kuwa chuki dhidi ya serikali. Baada...
  18. Tlaatlaah

    Kuinusuru CHADEMA kisiasa, Heche, Lema na Sugu wabanduliwe uongozini ili kukipa chama pumzi na uelekeo mpya kisiasa

    Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa. Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari...
  19. mike2k

    Je, Taswira ya Kisiasa ya Tanzania Inawafukuza Wawekezaji Wakubwa?

    Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa: Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala. CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
  20. J

    Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
Back
Top Bottom