kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etwege

    Laana ya Dk Magufuli yamzamisha Zito Kabwe kisiasa

    Moja ya pingapinga mkubwa wa serikali ya awamu ya tano iliyoongozwa na hayati Magufuli na mtu aliyeshangilia sana kifo cha Magufuli kwa akili yake alidhani atakula maisha na kutamba sana kisiasa, sasa ametangaza kutupa taulo chini.! Mwanasiasa huyu ni Zitto Kabwe alipinga ununuzi wa ndege...
  2. Yoda

    Chalamila, acha kushambulia makanisa ya kiroho kwa faida zako za kisiasa

    Nimemsikila Chalamila akifoka kuhusu makanisa anayodai yanaanzishwa kiholela tu bila utaratibu Anasema eti haiwezekani mtu amelala tu akaoteshwa kuanzisha kanisa halafu anaamka anaanzisha kanisa! Mbona makanisa yote duniani yameanzishwa kwa mtindo huo?! Nchi hii ina uhuru wa Imani mkuu wa...
  3. BIOTOXINS

    TISS, JWTZ na Jeshi la Polisi ni vyombo vya dola? Je, vinaweza kutumika kisiasa badala ya kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba .?

    Vyombo hivi vina wajibu wa kulinda taifa, usalama wa wananchi na mamlaka ya kikatiba. Hata hivyo, kumekuwa na maswali na tuhuma zinazohitaji uchunguzi kuhusu mipaka ya ushiriki wake katika siasa. *Baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola kuteuliwa kuwa Wakuu wa Mikoa au Wilaya, hali inayozua...
  4. Idugunde

    Lissu kahukumiwa kufungwa. Mmepata faida gani kisiasa zaidi ya kuchukiwa zaidi na wananchi?

    Chuki iliyokuwepo dhidi yenu kabla ya Oktoba 29 ndio imezidi baada ya Lissu kufungwa kwa sababu tu ya uovu la wanaCCM mtandao. Wananchi wamewachukia maradufu. Hawawataki muwe madarakani. Mpo madarakani kwa mabavu na sababu mnalindwa tu.
  5. Y

    Je, CHADEMA iingie kwenye meza ya maridhiano au laa?

    Habari wana jamvi. Leo nimekuja tena tuzungumze mambo mazuri kuhusu hili taifa. Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025 ni wazi ulingo wa kisiasa uligubikwa na aina fulani hivi ya komedi. Joto la uchaguzi lilikuwa kali ingawaje lilijaa vichekesho vya hapa na pale ktk mitandao ya kijamii...
  6. instinct desire

    Tufanye amendment: Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akose sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa. hii itadhibiti tabia za wanasiasa Nchini

    Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu. Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Heche hawezi kumjibu shangingi wa kisiasa. Anamwacha aendelee kupiga kelele. usiku atalala.

    Kuna shangingi wa kisiasa anataka ligi na Heche. Anadhani kwa maneno Yake ya kishangingi ataweza kuipasua gnome ya CHADEMA. Tundu Lissu kisha sema yupo tayari kulipa gharama, hata kama mtaamua mumnyonge Leo, Yuko tayari, lakini si kumpigia magoti kinyago yoyote au mwanasesere yeyote. Huu ni...
  8. Wakili wa shetani

    Nyerere aliona mbali sana. Huwezi kuwa na shirikisho la sarafu bila kuwa na shirikisho la kisiasa. Akasitisha matumizi ya sarafu ya Afrika Mashariki.

    Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana. Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966 "Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  10. Kigongoi kwetu

    Mahakama ingejificha kidogo kwenye kesi za kisiasa

    Kwa kuwa viongozi wa CCM wamekuwa wakitamka wazi kwamba vyombo vya dola ni mali yao na wanavitumia vyombo vya dola kubaki madarakani na kwa kuwa hakuna wasemaji waliokanusha kauli zinazotolewa na Wana CCM ni dhahiri kwamba lugha hizi ni za ukweli. Lakini pamoja na mambo ya namna hii kujitokeza...
  11. M

    Kufika mbali kisiasa hadi uwe mkristo, Viongozi wengi wa kiislam wanabana nafasi wanapenda kurithisha familia zao

    Marais wajao wa kiislam wenye nafasi kubwa ya kuteuliwa ndani ya CCM iwe Tanzania kiujumla au Zanzibar wametoka kwenye familia za viongozi wakubwa Baadhi ya majimbo ni wanafamilia tu hugombea, kama umetoka hayo majimbo tafuta nafasi nyingine Wanafamilia hupewa vyeo vikubwa
  12. K

    KUTOKA UHAINI HADI UCHOCHEZI: Uchambuzi wa Kisheria na Kisiasa wa Hukumu ya Tundu Lissu na Mustakabali wa Demokrasia Tanzania

    picha: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akionyesha msimamo thabiti nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakati wa mchakato wa kesi yake. Wakuu wa jukwaa hili, Kama nilivyoahidi asubuhi ya leo hapa jukwaani kuwa nitaweka andiko refu la uchambuzi kufuatia maamuzi ya kesi inayomkabili kiongozi wa...
  13. Wakusoma 12

    Lissu akosoa hukumu asema ni ya kisiasa.

    Chanzo cha picha,Getty Images Baada ya hukumu kwamba Lissu hana hatia ya kosa la uhaini lakini amekutwa na kosa la uchochezi, Lissu anazungumza Lissu: Naomba mnisikilze kwa makini kama ambavyo mmekua mkinisikiliza, leo ni siku ya 577, kwa kuitwa mhaini, kosa ambalo kwa Katiba ya nchi yetu ndiyo...
  14. F

    Tuseme kweli tupu, hivi leo 5-6 November 2026, mtu maarufu kisiasa nchini ni nani?

    Karibuni
  15. Tlaatlaah

    Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  16. M

    Rahby ni Mchambuzi bora wa kisiasa kuwahi kutokea Tanzania kwa sasa

    Jamaa amechambua siasa za marekani na uchaguzi wa Isreal na Marekani mwaka kabla ya uchaguzi. Yale yale alioyachambua ndio yametokea. Jamaa yupo vizuri sana kichwani
  17. Keynez

    Katika mapambano ya kisiasa, uwepo wa wanaharakati au "radicals" ni msaada mkubwa kwa "moderates"

    Ukiona mtu anadai anataka mabadiliko halafu wakati huo huo anawapinga "radicals" au wanaharakati, huyo mtu ni ama hajui umuhimu wao au ni kibaraka wa upande wa pili. Uwepo wa radicals au wanaharakati unawasaidia moderates hata katika meza ya maridhiano au majadiliano maana upande wa pili utaona...
  18. M

    Lema hamuwezi Mange, amejimaliza kisiasa

    Kosa ambalo lema kalifanya ni kushindana na mange. Hamuwezi na ashajimaliza kisiaasa.
  19. Roving Journalist

    ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  20. Echolima1

    Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kuwatia Hamas Magaidi!!

    Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza. Vyama vyote vya waarabu...
Back
Top Bottom