kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kuwatia Hamas Magaidi!!

    Kiongozi wa muungano wa vyama vya kisiasa vya Waarabu anakataa kukiita Hamas kundi la kigaidi. Hawa ndio watu wanaotaka kushiriki katika serikali ya Israel. Wanapaswa kufukuzwa na kurudishwa Jordan! Yeyote aliyewapigia kura anapaswa kufukuzwa na kupelekwa akaishi Gaza. Vyama vyote vya waarabu...
  2. Roving Journalist

    Arusha Wapata Elimu kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la EAC

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
  3. BIOTOXINS

    Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  4. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
  5. Mla Bata

    Maslahi binafsi, itikadi na mikakati ya kisiasa: Kipi hasa huchochea wanasiasa kuhama kambi?

    Wasalaam, Katika medani za siasa zetu hapa Tanzania, kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine limekuwa si jambo la kushtua tena. Lakini kinacholetwa maswali mengi ni nyakati zenyewe kete hizo zinaposogezwa. Tukio la hivi karibuni la Alute Mughwai Lissu, kaka yake Tundu Lissu...
  6. M

    Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  7. K

    Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  8. Kigongoi kwetu

    Athari za kiongozi wa kisiasa kuchukiwa

    Tukizungumzia kiongozi wa kisiasa anayechukiwa na wananchi, athari zake zinaweza kuwa kubwa sana. Historia inaonyesha kuwa kiongozi anaweza kuwa na mamlaka makubwa kisheria, lakini akapoteza uungwaji mkono wa wananchi. Athari 7 za kiongozi wa kisiasa kuchukiwa na wananchi 1. Kupoteza uhalali...
  9. Ngurukia

    WASANII WA KIBONGO WANAOTUMIKA KISIASA WANA LA KUJIFUNZA KUTOKA KWA 50CENT

  10. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaharakati wa kisiasa kurukia rukia matukio inanihuzunisha sana

    Hamjambo! Napenda wapigania haki. Hilo litabaki hivyo. Lakini nachukia ushabiki maandazi. Yaani uanaharakati wa kishabiki. Siupendi kwa sababu unaulaghai na uongo mwingi sana. Na mtu mwongo kwa kweli hanivutii. Ukiwa muongo uwe muongo mwenye Akili angalau. Hawa wanaharakati uchwara hawana...
  11. K

    Tafakari ya Kina: Je, Wanaharakati Wetu Wamekuwa 'Wapiga Ramli' na Wafungwa wa 'Ubuyu' wa Kisiasa?

    Heri ya siku wana-JamiiForums, Katika kuelekea tarehe 6 Novemba 2026, siku ambayo Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu, kumekuwa na msisimko mkubwa sana wa maneno mtandaoni. Jambo linaloshangaza na linalostahili...
  12. Deus Jovin

    Barua kwa Vigogo wa Kisiasa, Kidini na Kijeshi Kuhusu Tatizo la Umachiavelli wa Kitaasisi Tanzania: Muda wa Kuchukua Hatua ni Sasa

    Sasa ni mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, tukio ambalo lilitakiwa kuwa kielelezo cha sauti ya wananchi, lakini badala yake likageuka kuwa kilele cha kile ninachokiita Umachiaveli wa Kitaasisi. Mbinu za Machiavelli sio wazo geni katika siasa zetu. Lakini sasa limefikia kiwango cha...
  13. I

    Tusifanye swala la El nino kuwa la kisiasa, tusiwabeze TMA

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu tahadhari ya mvua za El Niño iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Baadhi ya wananchi wameanza kuibeza TMA na hata Serikali kwa sababu mvua zilizotabiriwa kuanza mwanzoni mwa Oktoba hazijanyesha katika maeneo mengi...
  14. Idugunde

    Wadau sio jambo jema kufurahia kifo cha mtu kisa tu hujamuona mitaani akifanya shughuli za kisiasa kama udiwani n.k

    Subiri Mungu afanye kazi yake. Sio kuanza kuzua uongo na kushabikia. Kifo ni suala ambalo halihitaji kisasi. Ni kumuachia Mungu tu.
  15. figganigga

    Je, Wanasiasa wa CCM(Vigogo) wammejiandaaje kuwa wakimbizi wa Kisiasa? Kila mtu atatoa mlio wake

    Hii ishu ya Ukimbizi wa kisasa walijua itakuwa upande wa Lissu na Wapambania haki wa CHADEMA. Hakuna aliyetegemea Polepole atatekwa kama Mdude Nyagali. Hakuna Mwana CCM alitegemea Nchimbi anaweza kupotezwa asijulikane alipo kama Ben Saanane. Mwigulu alipokuwa waziri wa Mambo ya ndani...
  16. W

    Je, pombe imekuwa silaha mpya ya kisiasa ya Ruto dhidi ya wakosoaji wake?

    Rais William Ruto amezua mjadala baada ya kumhusisha Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na pombe alipokuwa akizungumzia uzinduzi wa chama kipya cha kisiasa, The Equitable Party (TEP), na madai ya Sifuna kuonekana kwenye baa baada ya hafla hiyo. “Niliona Sifuna alienda kulaunch the Empty Party alafu...
  17. Tlaatlaah

    Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  18. K

    Kumbukumbu za Zilipendwa: Historia, Maudhui na Ujanja wa Kisiasa Nyuma ya Wimbo "Nakei Nairobi" (1984)

    Habari za muda huu Wana JamiiForums! Leo katika jukwaa letu, nawaletea kumbukumbu safi kabisa ya Zilipendwa, ikiwa ni muendelezo wa makala zetu za kiweledi zinazoangazia nyimbo za zamani zilizoacha alama kubwa barani Afrika. Kwa vijana wa sasa na wahenga wenzangu waliobahatika kuishi zama za...
  19. Idugunde

    TISS wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
  20. Kamanda Asiyechoka

    Kwa aibu kubwa Chacha ulitakiwa kujiuzulu. Prof Kabudi amekuaibisha na hufai kuwa kiongozi wa kisiasa

    Nilipoona tu unalia kwenye vyombo vya habari kuwa ulitongozwa na ukashitaki polisi hapo ndipo nilijua hufai kuwa mwanaume na kiongozi. Prof Kabudi amekuumbua, kuwa vyombo vya dola sio mali ya CCM ni mali ya wananchi na hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa na Katiba ya JMT. Wewe...
Back
Top Bottom