kinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiwanja kinauzwa

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa Sqm 200 kipo Kigamboni Mwera. Kina msingi wa fence na wa nyumba Mwasiliano 0673 17 5000 Bei 27m
  2. VIWANJA VINAUZWA -KILUVYA GOGONI

    VIWANJA VIZURI VINAUZWA – KILUVYA GOGONI, UBUNGO DSM πŸ“ Eneo: Kiluvya Gogoni, Wilaya ya Ubungo – Dar es Salaam πŸ“ Viwanja vyote vipo mtaa mmoja πŸš— Km 2 kutoka Morogoro Road 1️⃣ SQM 2,000 βœ… Kimepimwa βœ… Kina ramani πŸ’° TSh Milioni 45 🀝 Maongezi yapo 2️⃣ SQM 1,200 βœ… Kina Title Deed πŸ’° TSh Milioni 30 🀝...
  3. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa nzuguni Dodoma kinatazama lami

    KIWANJA KINATAZAMA BARABARA YA LAMI NZUGUNI _______ MAHALI-NZUGUNI _______ UKUBWA WA KIWANJA-3513SQM _______ KINA FENSI UPANDE WA NYUMA _______ DOCUMENT-HATI _______ BEI- 350M (MAONGEZI YAPO) _______ 0622111186 (CALL+WHATSAP)
  4. Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ikwiriri (Rufiji) - Robo Hekari (100x100), Karibu na Barabara Kuu ya Lindi/Mtwara

    Wakuu, ninauza kiwanja changu mwenyewe (mimi ni mmiliki, hakuna dalali) kilichopo mkoani Pwani, Wilaya ya Rufiji. Eneo linafaa sana kwa makazi au uwekezaji wa kibiashara kwa sababu ya ukaribu wake na barabara kuu na stendi. Sifa na Maelezo ya Kiwanja: Mahali kilipo: Mkoa wa Pwani, Wilaya ya...
  5. D

    Kitanda kinauzwa 350k

    Habari kitanda hiki kinauzwa 350k
  6. S

    Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini

    Habari , Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano ) Ukubwa ni 331sqm Huduma zote zipo ndani ya eneo. Kipo Barabarani. Kimepimwa na Survey form ipo . Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo ) Mawasiliano 0796007039
  7. S

    KIwanja kinauzwa Dodoma Mjini

    Habari , Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano ) Ukubwa ni 331sqm Huduma zote zipo ndani ya eneo. Kipo Barabarani. Kimepimwa na Survey form ipo . Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo ) Mawasiliano 0796007039
  8. Kiwanja kinauzwa

    -Kiwanja kipo vianzi kwamtopa (vikindu) pwani kinauzwa 5M . -kinaukubwa wa mita 12x21 kinamsingi wa vyumba viwili kimojawapo ni master , jiko , sebule, choo chandani Mteja serious njoo inbox
  9. Kisiwa cha lupita kinauzwa

    Huyu mzungu anaetaka kuuza kisiwa hiki ni mmliki wa kisiwi? Je nani alihusika kuuza hicho kisiwa mali ya watanganyika ? Kwamba kuna watu wachache wanajimilikisha visiwa na kuviuza kwa wazungu ndugai aliwahi kusema hii nchi utakuja kuuzwa sasa kama wameuza kisiwa na haiko documented mahali...
  10. G

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Kibaha Mfipa TZS 5.5M

    Kiwanja hiki kinauzwa kibaha kwa mfipa 5.5M Upande wa mama Anna Mkapa. Km 5 kutoka morogoro road Mawasiliano 0754088347
  11. G

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Haraka Kibaha - 6M TZS

    Ninauza kiwanja changu kwa dharura, kipo kibaha kina sq merter 514 Bei 6M kimeshapimwa tayari,na kuhuduma zote kama makazi ya watu, Afya,shule,maji n.k na majirani wapo na mduka yapoo na misikiti ipo na makanisa yapo. Kiwanja kipo kwa mfipa upande wa mama anna mkapa kipo sehemu inaitwa...
  12. S

    Kiwanja Kinauzwa Nyamhongoro Mwanza (502 sqm)

    Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza, ni sehemu nzuri sana, 502 sqmts, block 5, kuelekea kwa mapadri...Bei 26 mil..maongezi yapo..Hati ipo.. Karibu sana mteja mpendwa.. mercybriella@gmail.com
  13. G

    Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mfipa

    4
  14. G

    Kiwanja kinauzwa Kibaha kina sq merter za mraba 500+ kimepimwana kina bicon

    Kipo kibaha kwa mfipa sehemu inaitwa galagaza, Kinauzwa 5.5M hii ni bei iliyonunuliwa cash Anayehitaji aje pm au anitafute kwa hizi namba
  15. Kiwanja kinauzwa madale mvumoni (ushuani )

    KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMONI πŸ“ Mahali: Madale Mivumoni πŸ“ Ukubwa: SQM 1,600 πŸ“„ Kimepimwa rasmi na kina Hati ya Wizara 🌳 Kipo katika mtaa mzuri, salama na unaoendelea kwa kasi Kiwanja hiki kinafaa kwa: βœ… Ujenzi wa nyumba ya kifahari βœ… Apartments au nyumba za kupangisha βœ… Uwekezaji wenye...
  16. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa Mangi

    KIWANJA KINAUZWA – KIBAMBA KWA MANGI, UBUNGO Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa yako! Mahali: Kibamba Kwa Mangi, Wilaya ya Ubungo Ukubwa: Meta 20 Γ— 25 Bei: TSh Milioni 14 tu (maongezi yapo) Umeme upo karibu Maji yapo karibu Barabara ya gari inafika...
  17. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Milioni 10 tu

    Kiwanja cha SQM 1,400 kinauzwa Dondwe, Karibu na Gereza la Mvuti, Ukanda Wa Chanika Kiwanja kina miti mingi ya nazi, ndizi, mapapai, korosho. Kipo barabarani kabisa Nitumie message inbox if interested
  18. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  19. Propaganda: KItabu Cha Abdul Sykes Kinauzwa Misikitini

    Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print). Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana. Kitabu cha Abdu Sykes ni kitabu kilichozingirwa na ubishani mkubwa toka mara ya kwanza kilipochapwa kwa Kiingereza mwaka wa 1998...
  20. Plot4Sale Kiwanja cha sqm 520 kiko Mbopo Kinondoni kinauzwa Mil 19

    Wakuu kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 520 kilichopo Mbopo Wilaya ya Kinondoni kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni 19. Kiwanja kipo eneo zuri na ni jirani kabisa na barabara inayotoka Madale kuelekea Mabwepande. Kiwanja hakina kipengere kabisa. Karibu DM tuyajenge ujipatie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…