kila siku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Dar: Mgambo wa Jiji walikamata Spika zetu, wakasema tunalipe Faini Sh 200,000 kisha tulipe Sh 50,000 kila siku kama tunataka kuzitumia

    Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na kuondoa spika zetu za kutangazia biashara. Hawakunipa maelezo ya kutosha wala hawakutoa hati yoyote ya...
  2. S

    Je, wajua? Kwa chini kabisa, msichana/mwanamke mzuri anatongozwa mara 2 kila siku; kwa mwaka mara 730. Halafu unadhani wewe ndio umemgundua umtongoze?

    Huwa nawashangaa sana wanaume ambao wakimwona msichana au mwanamke mzuri wa kuvutia lazima wajaribu bahati yao, iwe njiani, conference, baa, chuoni, safarini, kazini nk. Hivi huwa hata mnajiuliza kwamba uzuri unaouona karibu kila mwanaume anauona, na anavutiwa nao na atataka kujaribu bahati...
  3. M

    Evening Classes Za Postgraduate Studies UDSM Ni Lazima Kufika Darasani Kila Siku Ya Vipindi?

    Habari wanajamii Nilitamani kufahamu kama Zile postgraduate programs ambazo sio blended ama online classess pale udsm ni lazima kuattend vipindi physically au kuna nafasi ya kuhudhulia kwenye platforms kama zoom na e-learning platforms zingine (Moodle) Je kwa mtu ambae anasafiri kila wakati hii...
  4. idiomer

    Hapa kwetu habari za kila siku ni ajali labda na teuzi. Wenzetu ni ubunifu na tafiti za kusaidia dunia

    Je hili mamlaka inaliona au ndio utamaduni wetu.
  5. M

    Mbona nyie ambao hamnywi mnamaisha magumu kama sisi tunaogida kila siku?

    Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama. Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea. Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa serikali baad ya wiki tu mshahara kutoka mnakua hoi bin taaban.
  6. ShesRise_1

    Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

    Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL. Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL. Picha Mpya ya Mwanaume Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
  7. Zee la madawa

    Kila siku tunamnunulia Pombe tumekuja kugundua kumbe anajenga

    Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana. Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa...
  8. ndege JOHN

    Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  9. Wakusoma 12

    Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  10. Traxtion

    Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

    Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule Wali Pilau Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya) Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga) Mayai (kukaanga na kuchemsha) Tambi Mboga za majani za kuunga na nyanya Dagaa (same, kukaanga na kuunga) Kuku (wa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  12. D

    Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  13. Stability

    Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  14. A

    KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  15. R

    Kila nikilala najikuta nimegeuka upande wa miguuni, nawaza nini kinanitokea kila siku?

    Wakuu, naombeni msaada Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini najikuta kichwa kikiwa upande wa miguu. Ajabu ni kuwa mke wangu na mwanaye wao wanakuwa tu wapo sawa...
  16. jamaikatz

    Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyowasiliana kila siku huwa mnaongea nini?

    Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyo wasiliana kila siku huwa mnaongea nini ??
  17. Mad Max

    Kuna Group FB linaitwa “Mabaharia Sailors SA” la Watanzania waliopo South. Aisee, kila siku matangazo ya mwili unarudishwa Tanzania

    Katika pitapita feeds za Facebook nilikuta a na ili group: [MABAHARIA(sailors)SOUTH AFRICA. Sijakosea kuandika, linaitwa ivo ivo, lina member kama Elfu 50+ na liko Active kinoma. Katika kusoma soma nilikutana na admin wao anaitwa MohamediT Msangi, aisee jamaa kila siku anatangaza Mtanzania...
  18. A

    KERO Mbona bei ya mbolea inazidi kupanda kila siku huku Dakawa?

    Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro. Bei ya kawaida...
  19. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
Back
Top Bottom