Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
Heshima sana wsnajamvi.
Kuna utaratibu wa hila na laghai za kila aina ambazo sijui chanzo chake au kusudio lake.
Huyu Kafulila kila uchao utasikia kasema hili mara kasema lile.
Ukitazama nyuzi kuhusu Kafulila hasa JF nadhani kuna kundi la watu pengine wanalipwa au yeye mwenyewe Kafulila...
Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv
Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi, juzi tu Kusaga TV iliripoti tukio la dereva bodaboda kuuwawa na kutolewa macho huko Olasiti...
Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media.
Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na kuanza kuelewa vizuri hisia, tabia na matarajio ya audience wanayoihudumia.
Dunia imebadilika...
Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho.
Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
Kila siku tunasikia "Wahenga walisema..." au "Wahenga hawakukosea..." Lakini umewahi kujiuliza kwa kina, hawa wahenga walikuwa akina nani hasa? Walikuwa na sura gani? Walikaa wapi, na kwanini kila neno walilosema limebaki kuwa sheria ya maisha hadi leo?
Shusha pumzi, vuta kiti karibu. Leo...
Kila nikiangalia TUKIO la daktari aliempasua trafiki baada ya kuleta ungese wake, nimekaa nikafikiria sana, naona na wenzake madaktari wanakua kitu kimoja na wanapanga kugoma nchi nzima.
Tanzania inayokuja nimekaa nikaishia KUCHEKA TU mana nakuapia Kuna siku Hawa mnaowaita watekaji mtu...
Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff.
""INAITWA CHENGA YA MWILI""
Muziki si burudani tu. Ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku — inayoathiri hisia, akili, na hata mwili wetu kwa namna ya kushangaza.
Tangu utotoni, muziki hutusaidia kujifunza. Watoto hukariri herufi, namba, na hata kanuni za maisha kupitia nyimbo. Kadri wanavyokua, wimbo ule ule unakuwa...
Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta...
Za chini chini ni waliwaweka wapima upepo wa uzinduzi wakaona hakuna mwenye mda nao wala kuongelea plan ikawekwa
Chaap option ikaingia ni wanayemtumiaga kila siku sababu anapenda sana pesa
Kutega upepo wa mrengo wa kushoto wakamuona yule yule mtu wao akapewa dau na media coverage script mjomba...
Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani.
Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
Anonymous
Thread
barabara
bilioni 54
kero
kilasiku
kongowe
kusimamia
mradi
rangi
siku
ujenzi
ujenzi wa barabara
Leo watu wengi wanaanza biashara ya nguo kupitia WhatsApp Status, Instagram, Facebook au TikTok. Unaweza kuanza ukiwa na nguo chache, ukapata wateja wa kwanza na kuanza kupata faida.
Lakini swali ni: Je, unataka kubaki muuzaji wa nguo au kujenga BRAND yako mwenyewe?
Safari ya kujenga biashara...
Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako.
Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya.
Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana.
Usikubali...
UMAHIRI SI TUKIO—NI TABIA YA KILA SIKU
Viongozi mahiri hawasubiri kuambiwa cha kufanya. Hutambua yanayopaswa kufanyika mapema, huendelea kujiboresha, hukubali maoni kwa unyenyekevu, huwajibika kwa matendo yao, na hudumisha viwango vya juu hata pale ambapo hakuna anayewaona.
Umahiri hujengwa...
Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
1. Kitabu hiki ni kizuri kumsaidia mama wa familia kujua cha kupika bila kuumiza kichwa kwa mawazo. Mfano kama ana wageni wa ghafla kinamsaidia kuona cha kupika haraka. Kama anauguza mgonjwa pia wa magonjwa yanayotokana na lishe kama kisukari ama presha kitabu hiki kinamsaidia kujua cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.