kila siku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Simulizi ya Kevoo alivyokuwa akimpa binti marehemu Angel 1000tsh kila siku aliyofanya kibarua

    Kufuatia Kifo cha Angel Wariaeli, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026, wakati akiendelea kupatiwa matibabu Kutokana Kupata majeraha ya kupigwa Risasi Oktoba 29, 2025, Kijana Calvin Title Mwakajeba ambaye hujishughulisha na ujenzi amefunguka mazito namna alivyokuwa akiguswa na...
  2. M

    Wahitimu wengi wasiotulia baada ya wakiitwa written interview hawapo serious, mhitimu mwenye malengo ya ajira husoma kila siku kwa starehe

    Hakuna kipindi kizuri cha kusoma kwa utulivu kama baada ya kuhitimu chuo, hasa ikiwa lengo lako ni kuajiriwa kwa kupass written interview. Kujisomea baada ya kuhitimu kunaweza kuwa hobby kwasababu hakuna presha ya mitihani, hakuna deadline na hutapoteza muda kwenye masomo ya ziada yasiyohusiana...
  3. M

    Kila siku tutalaumiana tunaoneana. Tushtuke

    Binaadam sote tulitakiwa ituongoze shariah ambayo Allah ametupangia. Quran na sunnah ndio inatakiwa ituongoze duniani kote Tutazidi kulalamika kila siku Katika shariah, mtawala anatafuta akhera yake na haitafuti dunia. Kwa hivyo haki na uwajibaki hukumbuka siku baaada ya kuondoka ktk dunia na...
  4. Seran

    Wazazi wenye watoto wenye changamoto za kiafya au ukuaji, mnawezaje kuishi na hali hii kila siku?

    Kuna jambo limekuwa likinigusa sana moyoni na nimeona nililete hapa JF nipate mawazo na uzoefu wa wadau. Kila ninapokutana na mtoto mdogo mwenye changamoto za kiafya, ulemavu au ukuaji, huwa moyo wangu unaumia sana. Wakati mwingine najikuta nimeshindwa kujizuia kulia. Huwa najiuliza, hivi...
  5. Jumanne Mwita

    Kwa wewe ambae una uwakala wa fedha, unatumia mfumo gani wa kufunga hesabu yako kila siku?

    Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku? Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
  6. Jaji Mfawidhi

    Boda boda kila siku watu wanapata ajali Dar

    Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama. Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda...
  7. youngkato

    Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  8. LiFe 2-point-0

    In love memories for MO29 na kwa maisha yetu ya kila siku ya mapenzi nakuletea ngoma hii - USINIZOEE.

    Dont take the love you are given for granted. Ukipata muda na kama bundle yako inakuruhusu, basi pita hapa youtube kisha subscribe, like and hit the notification button kwa burudani zaidi. https://youtu.be/vCIqVwP57yI?si=GGpZYsLeQJjRumpt R.i.e.p wapendwa wetu waliotutoka october 29 2025
  9. Ntemi_Ntale

    OpenAI Imezindua GPT-6.1 Terra: AI Model yenye Kasi na Bei Nafuu kwa Kazi za Kila Siku

    Kwa Ufupi ni Kwamba : OpenAI imezindua GPT-6.1 Terra, model ya ukubwa wa kati inayolenga kazi za kawaida za kompyuta kama kuandika, coding na kuendesha programu za kompyuta (computer use). Gharama zake zimeshushwa karibia nusu ukilinganisha na GPT-5.6 Terra. Inapatikana sasa kwa watumiaji wa...
  10. Namshakende

    Nimetengeneza Excel ya matumizi kila siku lakini bado nashindwa kusave! Wapi nakosea?

    Wakuu habari za wakati huu. Naandika uzi huu nikiwa kwenye wakati mgumu wa kifikra kuhusu namna ya kusimamia fedha zangu. Kila nikijaribu kufanya saving (akiba) nashindwa. Sielewi hela naipeleka wapi, na mwisho wa siku hakuna kitu cha msingi cha maana ambacho nimefanya au nimefanikiwa...
  11. Gunner11

    Sisi tunao post kila siku

    Kuna siku mambo yanagoma kabisa, unaandika hakuna anaye engage na post zako.. Kuna siku unaandika kitu ambacho hata unajua hakiweza pata engegement, then kinnageuka kuwa na wachangiaji wengi.. So, by knowing that... Hauhitaji kuona kuwa people don't care, ni vile not everyone is thinking as...
  12. Financial Analyst

    Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
  13. M

    Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

    Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu. Naswali tahajud pamoja na witri. Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo. Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir...
  14. Financial Analyst

    Kila siku Wakristo wanachinjwa nigeria, watu wasio na hatia wanauliwa Sudan, n.k, sasa unajiuliza tofauti na kutoa matamko kazi maalum ya AU ni ipi?

    Mtaji wa masikini ni nguvu yake mwenyewe. Ukitaka kuharibu siku yako nenda uangalie damu zinavyomwagika sudan na nigeria.
  15. M

    Walitudhihaki hatukusoma, sasa lawama kila siku

    Walitudhihaki hatukusoma shule, lkn lawama kila siku
  16. youngkato

    Biashara ya restaurant: Watu wanakula kila siku, lakini je, kila restaurant inapata faida??

    Kuna mfanyabiashara alifungua restaurant sehemu yenye watu wengi. Alinunua viti vizuri, meza za kisasa na kuajiri wapishi wazuri. Mwezi wa kwanza wateja walikuwa wengi, lakini baada ya miezi mitatu alianza kulalamika kuwa biashara hailipi. Tatizo halikuwa kukosa wateja, bali kushindwa kusimamia...
  17. K

    TO DO LIST: Ratiba ya Kila Siku ya General Lucas Hebel Mwashambwa na Amri za Kijeshi kwa Maafande wa Lumumba Corps!

    Ndugu zangu Watanzania! Mimi kama General, Jemedari, na Executive Director wa Kikosi Maalumu cha Kusifu na Kuabudu (Lumumba Corps), nimeamua kuweka wazi ratiba yangu ngumu ya wiki nzima. Kuliongoza hili jeshi la mtandaoni kunahitaji nidhamu ya hali ya juu sana. Hapa hakuna kulala! Zifuatazo ni...
  18. R

    Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    .....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua. General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama. Rubbish!
  19. Eliphaz the Temanite

    Dawasco Shirika linatia hasara serikali kila siku

    Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
  20. Gunner11

    Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
Back
Top Bottom