1. Julius Nyerere
Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.
Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.
Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.
Nchi haina mwenye.
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati...
J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
Salamu wakuu.
Ndani ya siku hizi mbili tatu nimekuwa na ukimya usio wa kawaida ndani ya jukwaa hili na si kawaida yangu kupotea kwa muda mrefu kiasi hicho.
Ukweli ni kwamba nilikumbwa na tukio la uvamizi usiku wa XMAS tarehe 25 December baada ya kuvamiwa na vibaka, majambalika, wakulungwa wa...
Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916
Mazishi
Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba iliyokazwa sana inaweza kuwapatia wanaozika ugonjwa wa matumbo (ingoje). Maiti katika mkeka anawekwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeeleza kuwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa vichekesho na mshereheshaji, Emanuel Mathias, maarufu MC Pilipili kilichotokea mkoani Dodoma.
Akizungumza mapema leo Desemba 22,2025 jijini Dodoma, Kamanda wa Polisi mkoani humo...
Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.
Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa...
Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana...
Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!!
Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua...
Akizungumza wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu Jenista Mhagama, Padre Emmanuel Mtambo, Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledóchowska, Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025, amesema alipokea taarifa za kifo hicho kwa huzuni kubwa...
Nini kimetokea siku hizi.
Akifa Mbunge wa CCM Hawa Gen Z wanashangilia Sana lakini Akifa GEN- Z mwenzao wanasikitika na wanaenda kumzika kishujaa kwa maandamano.
Fundisho: Wabunge wa CCM mjitafakari hali ni mbaya Sana, GEN-Z hawataki hata kuwaona mkivaa hizo T-Shirt zenu za Chama
Kiburi cha wanadamu chatoka wapi?
Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki waliokufa leo na wewe kujiona u salama kushinda wao?
Unaowadhihaki hao, nao walikiona kifo ni kana kwamba...
Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃
Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!.
Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke.
Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Bangladesh Sheikh Hasina amehukumiwa kifo na mahakama ya Dhaka bila kuwepo mahakamani kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na mandamano makubwa yaliyoongozwa na wanafunzi mwaka jana.
Mahakama ya majaji watatu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu...
Nilitegemea kwa mambo yaliyotokea October 29 basi nilitegemea kuona watu wakijiuzulu lakini wapi bado wamo. Bado ni neno kujiuzulu kwa Tanzania ni kama msamiati ni kama kifo Msamiati mgumu sana hapo...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza;
NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini!
Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie:
1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.