Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake.
Lakini mara nyengine...
Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia.
Uamuzi Ulioitikisa Dunia
Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
#MICHEZO Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori ameibuka tena baada ya RS Berkane kufuta chapisho lao ambalo walichapisha kuhusu kubadirishwa kwa uwanja.
Magori amesema anaendelea kuchunguza baadhi ya masuala yaliyotekea nyuma na ataripoti kila jambo ikihitajika kwa FIFA...
Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama.
Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu
Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu...
Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha
Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake.
Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa.
Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
🌍 Aiseeeh Dunia bhana 😉, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa 🚒....!!!!!
💡 Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari.
💡...
Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo.
No Reform no Election...
Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya...
Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile
Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa
"kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo.
Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu.
Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa.
Serikali je, Kodi ni muhimu...
Huu Ndio Mwisho Wa Miili Yetu Sisi Ni Wapita Njia Tu Katika Hii Dunia Sio Mahali Pa Kujiona Mbora Kupita Mwenzako Eti Kisa Unaishi Maisha Mazuri Ukajiona Mbora Hapana Sote Mwisho Wetu Huu👇👇👇
Tuombe Mwisho Mwema Na Sote Tuingie Katika Pepo Yake.
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr
Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
Mungu anatwala.
Haugui
Hafi
Hachoki
Hazimii
Hatishwi
Matendo yote ya heshima na inada uyaelekezwe kwa Mungu asiyekufa.
Viongozi wa kidini na kiserikali wapewe heshima za kibinadamu. Heshima kuu irudi kwa Mungu Muweza wa Yote.
Kwa Mujibu wa Biblia. Baba mtakatifu (Yohana 17:11) sio mtu.
Ni...
Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru.
Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
Kifo ni sehemu ya mpango wa Mungu
Qur'an inasisitiza kuwa kifo ni mchakato wa kawaida uliopangwa na Mwenyezi Mungu kwa kila kiumbe hai.
(Surah Aal-Imran 3:185)
(Surah Al-Mulk 67:2)
2. Hakuna anayeweza kuepuka kifo
Hata Mitume na watu wema hawawezi kuuepuka wakati wake ukifika.
(Surah...
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali
Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE
Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.