Nilitegemea kwa mambo yaliyotokea October 29 basi nilitegemea kuona watu wakijiuzulu lakini wapi bado wamo. Bado ni neno kujiuzulu kwa Tanzania ni kama msamiati ni kama kifo Msamiati mgumu sana hapo...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza;
NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini!
Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie:
1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
Knesset ya Israel imepitisha kwa usomaji wa kwanza mswada unaoruhusu kunyongwa kwa wafungwa wa Kipalestina.
Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Israel (KAN), mswada huo ulipitishwa Jumatatu usiku kwa kura 39 za ndiyo na 16 za hapana.
Mswada uliopendekezwa na chama cha Jewish Power cha...
Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina.
Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
Kwa yanayoendelea nchini, mauaji ya wazi kwa raia na vitendo vya utekaji bila Rais kukemea - ni kweli Magufuli alikufa kifo cha kawaida?
Yaani, inatafakarisha sana:
1) Aliyetutangazia kifo cha Hayati Magufuli ni SAMIA.
2) Aliyesema Magufuli alikufa kwa COVID (Hakukuwa na taarifa ya kina juu...
Angalia upendo wa Raia wote (naweza kusema hivyo, wote) wanaouonesha kwa Raila!
Nadhani una kitu cha kujifunza na pia kwa watanzania wote.
TENDA HAKI, HAKI, HAKI utapendwa na kuombewa na wenye heri ya Mungu ndani yao na kila mmoja!
Rais wangu historia yako umeiandikaje mpaka sasa?
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga.
Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
Department of State imefuta VISA kadhaa za raia wa kigeni walio Marekani ambao walishangilia kifi cha Charles Kirk.
==============
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (@StateDept)
Machapisho tena: 17.3K Majibu: 3,949 Walioipenda: 131K Walioweka alama: 7,977
Wizara ya Mambo ya Nje (ikijibu kwa...
Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama.
Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo.
Mawakili wa...
Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali ya mvutano. Bukavu ilivamiwa na waasi wa M23 tangu Februari 2025.
Mahakama ya Kijeshi nchini DRC...
Poleni na kifo ila mimi sijalia.
Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na mchana ila wanakutana na kodi za ajabu kwenye kila kitu.
Nalia na waTanzania walio na wanaouawa...
Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi na kuuawa papo hapo na watu wasiojulikana waliokuwa kwenye pikipiki huku akiwa kwenye gari lake...
Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu:
Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.