“Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakayokula matunda ya mti huo utakufa hakika.” (Mwa.2:17).
Shetani alidai “Hakika hamtakufa.” (Mwa. 3:4).
Lakini baada ya kutokutii, Adamu na Hawa waligundua kuwa mshahara wa dhambi kwa uhalisi ni “mauti” (Rum.6:23)...
Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?
Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
Makamanda Pipo's power ✌️
Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata wabunge na madiwani,askofu kakaa kimya.
Sasa tunafanyiwa dharau na vidampa 19 ambavyo havina mbele...
Najua tumepoteza wandugu wetu kadhaa kutokana na ugonjwa huu wa COVID-19. Mungu awarehemu marehemu na atupe faraja wafiwa.
Lakini najiuliza kwanini kila kifo kinachotokea sasa kinahusishwa na Coronavirus, hasahasa kikitokea kwa watu mashuhuri. Naamini watu wengi mashuhuri waliokufa kabla ya...
Salaam wakuu,
Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia zipi juu ya maisha yake!.
Hilo sijasoma mahali wala mada hii sijasoma mahali bali ni fikra zangu!,na...
QUANTUM IMMOTALITY
Wasaalam
kuna mtaalamu alipata kusema
"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"
kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini.
Tumejifunza vingi sana...
Kiukweli binadamu tumetofautiana sana.
Rais Magufuli Magufuli alisema hajasaini hukumu yoyote ya kifo kwa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa sababu akifanya hivyo na yeye atakuwa anauwa. Rais Magufuli alisisitiza kuwa hana mpango wa kusaini hukumu yoyote ya kifo hadi anatoka...
Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo.
========
Pakistan court sentences three to death for blasphemy
Fourth accused, a college teacher, sentenced to...
Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote.
Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu.
1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace.
2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
Ewe mama/ baba unaempakia mwanao au wanao wawili kwenye boda boda kupelekwa shule acha ufala, upumbavu na uvivu. Boda boda ni kifo!
Ewe mdada wa chuo unaependa urembo wako na uzuri wako, boda boda ni kifo.
Ewe boda boda tafuta kazi ya nyingine ya kufanya achana na huo upumbavu wa boda boda!
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiJorums.
Waziri Kabudi alikosea sana kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory Gwanda. Alipaswa kukubali kwamba ni kweli alikufa ndani ya mawazo, akili pamoja na mioyo ya wanaharakati.
Ninajua fika baada ya kuandika thread hii kuna watu...
Ni wazi tajiri huyu ameitekeleza kwa vitendo Sera ya Tanzania ya Viwanda.
Ni kweli tajiri huyu alikuwa miongoni mwa walipa kodi wakubwa
Inaelezwa kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Chama Cha Mapinduzi
Patel ametoa ajira kwa Watanzania wengi na vibarua wakutosha hili halina ubishi
Lakini mbona...
Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo.
UPDATES:
MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema unachagiza kuondolewa kwa adhabu ya kifo ili kuepuka hatari ya kuwaua watu wasio na hatia lakini pia kila mwanadamu ana haki ya kuishi.
Pia wamesema hakuna ushahidi wa dhahiri kwamba adhabu ya kifo inapunguza uhalifu. Hivyo wanachagiza kwa sentensi kuwa ‘Adhabu ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anaapisha jumla wa Mawaziri 21 baada ya kuwa tayari ameshawaapisha Mawaziri Mawili ambao ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philipo Mpango na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi...
Wakulungwa naomba mnisaidie hivi kipi bora kuwa karibu na death bed ya mzazi wako anaeumwa au kuja wakati ameshakata kauli.
Binafsi nadhani nibora ningekuwepo kushuhudia the last moments of my beloved dady probably he would have something to tell me. Naumia sana kwamba mzee wangu alifariki...
Wengi wetu tulitegemea mawaziri wataapishwa kesho lakini kwa bahati mbaya Kamishna wa Tume ya Maadili Jaji Mstaafu Halord Nsekela amefariki dunia leo.
Kwa ratiba niliyonayo marehemu Nsekela aliyefia jijini Dodoma mwili wake utasafirishwa siku ya Jumanne kuelekea Tukuyu Mbeya ambako atazikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.