kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Rodyizzy

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Habari zenu Nina maswali ambayo kwa uwezo wa fikra zangu nimeshindwa kuyapatia jibu ,nimeamua kuyaleta kwenu najua siwezi kukosa jibu, maswali yanahusiana na imani zaid NOTE: usilete utani tupo apa kusaidiana 1:Kwa mujibu wa imani zetu tunafundishwa kwamba siku ya mwisho baada ya ukumu wenye...
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

    Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa. Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka...
  3. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania ATCL vipi flights za Dar - Chato zitaendelea baada ya kifo cha Dkt. Magufuli?

    Nauliza tu vipi ATCL zile trips za Dar -Chato, Chato-Dar zitaendelea kama mlivyokuwa mkitangaza au ndio basi tena? Kama zitaendelea good. Kama hazitaendelea basi unafiki uliwatawala na hakika mtafilisika soon maana hamna vision. You are like wind, you have no specific direction or goals.
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kimeiweka pabaya CCM kama itashindwa kuendeleza kazi aliyoanzisha

    Kwa wanaokumbuka kilichoitokea KANU nchini Kenya baada ya Daniel arap Moi kuachia madaraka mwaka 2002 watakumbuka maneno haya kutegemea na CCM itakavyoendesha utawala wake baada ya kifo cha John Magufuli. Kama watagombania madaraka au kuyatumia vibaya na upinzani ukajizatiti, unaweza kuwa mwisho...
  6. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kweli cha Adolph Hitler: Hebu tuachane kwanza na ile ya kujiua kwa tindikali au kukimbilia kwake Argentina

    Wasalaam, Kumekuwa na Hadithi nyingi sana Kumuhusu diktekta maarufu , mwamba wa Ujerumani Adolph Hitler, katika hatma yake Wengine wakidai alichomoka kwenda kwa wafadhili wake wa Argentina kustirika Aibu ya kushindwa Vita, wengine Wakadai alijitumbukiza kwenye Tindikali Eti baadala ya Mabaki...
  7. KUNGUNIMSOMI

    JamiiForums Tanzania VIDEO:Africa wanavyo omboleza kifo cha mwamba wa africa

    Nchi nyingi za kiafrica zinaomboleza kifo cha RAIS MAGUFULI kama unavideo itupie ili tuone..Mimi nimeanza na izi video.
  8. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Mpambe na Walinzi wa Rais kisheria ikoje baada ya kifo?

    Nafasi za Mpambe wa Hayati Magufuli pamoja na Walinzi wake unatakiwa kukoma lini? Au pia na wao wanakuwa na mkataba? Je, kama wana mkataba unakoma baada ya kiongozi wao kukosa uzima wa kuishi? Naombeni watalamu watolee ufafanuzi.
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wanne (4) mbaroni kwa kufurahia kifo cha Rais Magufuli kwa kupika supu na kununua lita 20 za Ulanzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia Watu wanne kwa tuhuma za kufurahia kifo cha hayati John Magufuli kwa kupika supu na kununua ndoo ya lita 20 ya pombe ya kienyeji ya Ulanzi. Pia soma > Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

    Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university. Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke. Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

    Habari wadau poleni sana na msiba wa jemedari Hayati Magufuli. Leo nimeamua kuwaletea simulizi ya kweli inayoitwa "jinsi teseka miaka mingi na kunusurika kufa baada ya kurogezewa uchawi wa bundi". Kwanza niwaombe samahani kwa mwandiko mbaya maana simulizi hii ninapoanza kuiandika inaweza...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Dkt. Magufuli, Jerry Muro ahofia kunyang'anywa cheo chake

    Video hii hapa
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

    Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
  14. Lihakanga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania iwapo nitaruhusiwa kuanika ‘Maovu’ ya Utawala wa Magufuli

    Tundu Lissu Asema Atarejea Tanzania Iwapo Ataruhusiwa Kuanika ‘Maovu’ Ya Utawala Wa Magufuli NA WANGU KANURI MwanasiasaA mtajika wa Tanzania na mpinzani wa chama cha CHADEMA, Bw Tundu Antiphas Mughwai Lissu hivi sasa amesema kuwa yupo tayari kurejea nchini Tanzania lakini kwa sharti moja kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

    Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na kushangilia Magufuli atakapoondoka madarakani au atakapofariki. Kinyume chake mabeberu na mawakala wao...
  17. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Magufuli: Wanyonge na Walalahoi wanajua walichopoteza

    KIFO CHA RAIS MAGUFULI:WANYONGE NA WALALAHOI WANAJUA WALICHOPOTEZA. Leo 12:20hrs 21/03/2021 Uwanja wa Uhuru umejaa pomoni Wananchi wakija kwa shughuli moja tu kuaga Mwili wa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati John Pombe Magufuli, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mh Godwin Gondwe...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Dkt. Magufuli pigo kwa vijana wapenda siasa

    Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN. Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

    Wakazi 8 wa Mererani Wilaya Simanjiro wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kukejeli na kushangilia kifo cha Rais John Magufuli. Rais John Magufuli amefariki Machi 17 kwa matatizo ya moyo na atazikwa Machi 26, Chato, Mkoani Geita. Taifa lipo katika maombolezo ya siku 21...
Back
Top Bottom