kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

    Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 . Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa...
  2. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Euro 2020: Kweli lilikuwa kundi la kifo

    Yalipopangwa makundi ya michuano ya Euro 2020, kuna kundi liliitwa la kifo. Lilijumisha mabingwa wa dunia Ufaransa; mabingwa wa Ulaya watetezi Ureno; mabingwa wa kihistoria wa ulaya na dunia Ujerumani na Hungary. Baada ya michezo ya makundi, Hungary akauwawa. Wakapona Ufaransa, Ujerumani na...
  3. KIBEBENYEKE

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?

    Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu. Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu yeyote mwenye roho na matendo mema kifo humpata mapema?

    Ulishafanya utafiti kwako na kama bado nashauri ufanye. Ipo hivi watu wenye roho na matendo mema huwa ni vigumu mno kuzidi umri wa 50+. Wengi wao hufariki chini ya umri huo na kawaida vifo vyao huacha simanzi kuu! "...baba wa watu alikuwa mwema ama kijana wa watu ndiyo kwanza ameanza maisha...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mwanafunzi MCHAS-UDSM kichunguzwe, japo kimetokea akiwa Mwanza

    Wakuu Salam kwenu, Naenda kwenye mada moja kwa moja UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital, Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Yanga hawana taarifa ya kifo cha Kenneth Kaunda?

    Inasikitisha kuona timu kubwa kama Yanga ambayo imeupachika uwanja wake jina la Kenneth Kaunda Stadium inashindwa kutoa hata taarifa ya kusikitishwa na msiba wa mwanamajumui huyu wa Afrika. Ndio kusema Viongozi hawana taarifa ya msiba huu au hawajui vinasaba vya Kenneth Kaunda na Yanga? ======...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wanafamilia na Rais wa Zambia Edgar Lungu, kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Kenneth Kaunda, kilichotokea jana Juni 17, 2021. Kaunda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...
  8. Mhaya wa Arsenal

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninaomba mkopo na Cheti cha mzazi wangu hakijawa "authorized" na RITA

    Okay
  9. K

    JamiiForums Tanzania Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57 Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN)...
  10. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watu kama Ole Sabaya inabidi Kesi zao Mahakama iwe "LIVE"

    Ni wazi kuwa vitendo vya viongozi hawa dhidi ya raia vilikuwa ni vya kidhalimu sana. Nchi ilitikisika na kupata doa la Kimataifa hata baadhi ya misaada ikasitishwa! Ili Serikali ionekane haikuwatuma,kuwepo na mahakama huru na ya wazi. Kama ambavyo serikali ya Marekani ilijivua kidunia kuwa...
  11. JF Member

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

    Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea. Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi. Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Mghwira usiongee sana, peleka vielelezo juu ya kifo Cha Mama yake Hoyce Temu

    MAMA ANNA MGWIRA PELEKA VIELEEZO VYA MAREHEMU SION TEMU MAMA WA HYOCE TEMU ALIYEFIA NJIANI KUTOPATA HUDUMA KCMC Habarini za usiku ndugu zangu wana jamii forum wenzangu, Nimesoma habari ya kulalamikiwa moja ya taasisi ya kidini inayotoa huduma za afya , hospitali ya rufani ya kanda ya...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waliohusika kifo cha mama mzazi wa Hoyce Temu Hospitali ya KCMC waondolewe

    HUU MSIBA UMEHUZUNISHA WENGI SANA MKOANI MOSHI NA PENGINE WENGI WANAKUFA HAPO HOSPT BILA KUPEWA MSAADA WAZIRI WA AFYA WALIOCHANGIA KIFO CHA HUYU MAMA WAONDOLEWE KABISA HAPO HOSPT WATATUMALIZIA WAZAZI WETU MAPOKEZI MASAA MAWILI BILA HUDUMA??KWELI AISEE ===== MAMA MGHWIRA-KULIKUWA NA UZEMBE...
  15. Kipunga

    JamiiForums Tanzania Ambao tuna matukio ambayo hatutayasahau hadi kifo tukutane hapa

    Wazee shkamoni vijana mambo vp naomba moja kwa moja niende kwenye mada. Sitasahau nilivyopewa kesi ya wizi pale ccm kilumba Mwanza wakati wa kuaga mwili wa mzee magufuli ilikua hivi. Siku hio nimefika uwanjani mapema mida ya saa1 za asubui nikakaguliwa kama kawaida nikaingia ndani basi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma. Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

    BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
  18. GREAT VISIONAIRE

    JamiiForums Tanzania Familia ya Obama yatangaza kufiwa na Mbwa wao aliyejulikana kwa jina la Bo

    Rais mstaafu wa marekani ndugu Barack Obama, amefiwa na mbwa wake bo. Akitoa tangazo hilo leo moja kwa mona kupitia cnn. Obama ameonesha pamoja na familia hiyo kusikitishwa na kifo cha mbwa huyo aliyekufa na kansa. ====== (CNN) The Obamas announced Saturday that their beloved family dog Bo...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuchepuka enzi hizo hukumu yake ilikua ni kifo

    May 10, 1775: Princess Caroline Matilda of Great Britain, Queen of Denmark and Norway, died of scarlet fever while in exile in Celle, Germany, aged only twenty-three years old. She had been disgraced, sent from court, and divorced due to her extramarital affair with Dr. Johann Friedrich...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Bila rushwa hupati cheti cha Kifo au Kuzaliwa RITA mkoani Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba kupata cheti cha kuzaliwa au kifo kutoka ofisi ya kutoa vyeti hivyo (RITA) Mkoani Arusha ni shughuli kubwa sana. Ukifika mara ya kwanza unakuta foleni ndefu ya ajabu. Ukifanikiwa kuwakuta watendaji unapewa namba ya kulipia (Kontro namba) ukisha...
Back
Top Bottom